[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vunja kibubu
Ukajaze nyumba
Kuanzia
Jikoni
Sebuleni na chumba cha kulala
Wezi wamekwiba asee
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Antonnia kasasambuliwa furniture zote ndani kakuta chumba empty! Ila ripoti za awali zinasema kumbe alikuwa anadaiwa marejesho na ukizingatia mwisho wa mwaka huu watu wanataka vunja vikoba wagawane chao!
Nimechekaaaa km chiziiiii.IDD ulikula na nani?
Msubirie siku ya MAULID ulipizie
[emoji1787]
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Mbavu zangu mie jomoneeeeeh, khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo ni code na hapo si kashajua mjeda katoka sudan ana fungu la hela hivyo anasema kaibiwa ili anunuliwe furniture mupyaaa! Mjeda kapeleleza kagundua vitu viko ukobani, hivyo ameambiwa boss lady anadaiwa 3ml alikopa kwaajili ya biashara ya ubuyu, kashata na visheti kuwauzia wanafunzi. Ila wanafunzi wakamzidi ujanja akafilisika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakufaaa kwa kuchekaa akiiih.Yaani ulivyo born town tena mkaguru wa morogoro ni ngumu kuamini kama wamepita navyo. Bado tunaendelea kuchunguza mikopo yako uliyokopa kwanzia nyonya damu mpaka kausha damu! [emoji23] Tujue nani ndio amebeba!
Thank you Wige
Kweli umezipenda 😃😃Dear hizo tiles zimenibambaa mnooo. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3526][emoji4]!! Nilisafiri vicoba vyote tulikua tushavunja Poker
Nacheka kwa masikitiko hapa ujue!
Hii ni Dar?Kabisa...msaada wa kufanya usafi unahitajika mafundi wakimaliza kazi. [emoji16]View attachment 2457471
Hebu hizo sofaa nizione vizuri.Niko kwa jirani hapa, kanipa mwalikoView attachment 2457990
Hii ni South bila shaka kiongoziView attachment 2457183nyonzo kama nyonzo nikiwa kwenye kiwango bora kabisa.. x mass njema kwa wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alinipa vitu vingi shougaaa angu, alinifungashiaaaa haswaaaaa, kumbee pesa alikopaaaaa.Mbona vilikuja virikuu viwili na maturumbeta kwa mujibu wa mashuhuda!
Na pia tumebaini unadaiwa saccos, braki, nyonya damu na benki nmb.
Na pia pale dukani kwa muha unadaiwa vijora viwili ulivyomtumia cocastic kwenye kitchen party yke!
Unafikiri ni za kwa mtogole?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaaah yarabiiiiiihYaniii Sikukuu yote imekua chungu nakwambia Nilipanga kujilipua kama Beyonce leo afu nipite nakeddddddd kweri kweri hakii wameniweza!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2458005
Nimejikuta nipo huku au nimerogwa
Yaan zimenibambaaa mnooo wallah. Kwa kweli.Kweli umezipenda [emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata mie Mjep wangu anaweza sanaaa.Unafikiri ni za kwa mtogole?
Mambo ya National Anthem hayo
Si mnamnyima naniliu
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Nikipata tena mwaliko nitawaomba nipige picha vizuri