cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,301
Hizi cement???Hamna namna ukizubaa vijana wanakupiga View attachment 2454522
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi cement???Hamna namna ukizubaa vijana wanakupiga View attachment 2454522
Ndio ndio
Mzee wa mishikaki ya swalaHamna namna ukizubaa vijana wanakupiga View attachment 2454522
Wew kma mm aisee😂nahisi nililetwa duniani kwa kula ...nashangaa mtu anakunywa juice nusu saa kweli na hili joto jamani .
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Na uchizi wako wote Unaogopa kunyonywa🤣🤣🤣😂😂😂!!
Kuna wizi umefanyika gari ilifika usiku mlinzi atamaliza mwaka vibayaMzee wa mishikaki ya swala
Hiyo stake ya mbele wamepita nayo?
Super single imekuwaje Tena hapo?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
DuhKuna wizi umefanyika gari ilifika usiku mlinzi atamaliza mwaka vibaya

. 





Acha kabisa mkuu mbaya zaidi mzigo umeshushwa nje ya godown watajifunza kitu wahusikaDuh
Pole sana
Hizi issue mbona zilikomaga
Ama tamaa ya pesa ya krismasi
Akijua unashinda kwenye vibanda vya ulanzi na mishikaki?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Tutasaidiana...mi napika mboga na kukoroga uji ye anasonga ugali 🙂🙂Utaweza kweli kusonga ugali wa kumshibisha Msukuma wa kweli kweli kama mimi? Huoni hapo juu umepewa onyo kuwa Wasukuma tuna mapipa tumboni? Shauri yako!
View attachment 2454428
mimi sinaga mapozi hahahaWew kma mm aisee😂
kuna group huko facebook linaitwa vyakula la kitanzania kuna wenzetu kule .Wew kma mm aisee😂
😂😂Nitalitafuta sisi naona ukoo mzima mm ndo naonekana sili sana 😂kuna group huko facebook linaitwa vyakula la kitanzania kuna wenzetu kule .
hahha , kuna wengine hatari😂😂Nitalitafuta sisi naona ukoo mzima mm ndo naonekana sili sana 😂
Kukoroga uji?Tutasaidiana...mi napika mboga na kukoroga uji ye anasonga ugali![]()
hahha , kuna wengine hatari
mimi pia nilikuwa sipendi ghafla tu , mapishi ya mama dah .
saa tatu kashaunga mboga na juice tayari nikiwa mkubwa nataka kuwa kama yeye .










Bwana mdogoo