Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Utaweza kweli kusonga ugali wa kumshibisha Msukuma wa kweli kweli kama mimi? Huoni hapo juu umepewa onyo kuwa Wasukuma tuna mapipa tumboni? Shauri yako! [emoji16][emoji16][emoji16]Ntakuwa namsongea ugali wake mwenyewe [emoji16][emoji16]