cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,303
Watoto wa kike
Wanavyojibinua binua
Uzinzi utaisha kweli?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app







hauwezi ishaaa??? Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wa kike
Wanavyojibinua binua
Uzinzi utaisha kweli?
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app







hauwezi ishaaa??? Sayansi kimu?hebuu niwacheee naweee, nimeuliza tyuuh.
Sio Atheist wala siko kwenye dini yoyote. Nipo na science tyuuh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila uongo
Pichu haivuliki
Unafanya mchezo nini
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app






bas hongereni. Unatakaaa kumuangamizaaa mazimaaa lol.acha nimtoe upweke mtoto mzuri huyo![]()







Sema haki ya naniNo one is perfect in this earth ..
We are all sinners and fall short of God's glory .

Hahaha, unajua wige we phaller sana🤣🤣🤣Hapo unaposololea ni mnato
Na wewe ni timu bwawa
Funga breki hizo
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
😊😊😊 nitamuangamizaje mie, nataka nimfariji tu na kumtoa upweke
Thubutuuuuuuuu yake lol.nitamuangamizaje mie, nataka nimfariji tu na kumtoa upweke






Usije mchezea huyo binti yangu, watu innocent ukiwachezea badae yanakugeukia🤣🤣😊😊😊 nitamuangamizaje mie, nataka nimfariji tu na kumtoa upweke
😊😊😊 alafu mie ndio husband material kama hujui.. hata wewe uje tukae wiki moja tu ndio utanielewa .. sina makeke mie nimetulia fresh
😅😅 kwaiyo kuna category za kupiga na kusepa na za kuweka kambi.. ila mie huyo mtoto nataka tu kumfariji hakuna mambo mengine.. utu uzima udawaUsije mchezea huyo binti yangu, watu innocent ukiwachezea badae yanakugeukia🤣🤣
Hilo liko wazi mkuu, ziko pisi za kuweka na kuamsha, zenyewe zinaelewa hivyo kwanza hazitaki kubanwa banwa..ziko pisi kama hiyo ni za kuweka ndani na kutulia nazo.😅😅 kwaiyo kuna category za kupiga na kusepa na za kuweka kambi.. ila mie huyo mtoto nataka tu kumfariji hakuna mambo mengine.. utu uzima udawa
Ndoa za uzeeniacha story asee.. Plan ya Mungu sio ndoa za uzeeni.. Andiko lipo linalothibitosha ndoa ni ujanani na sio uzeeni.. ukiona una ndoa ya uzeeni kuna mahala uliyumba ila kwakua Mungu anatupenda basi anakupa cha uzeeni chenzako mpeane joto![]()
alafu mie ndio husband material kama hujui.. hata wewe uje tukae wiki moja tu ndio utanielewa .. sina makeke mie nimetulia fresh






ushindweeeee wee. Mie hapo siendi kupiga naenda kutoa tu faraja.. 😅😅😅 si unajua sie ndio waleziHilo liko wazi mkuu, ziko pisi za kuweka na kuamsha, zenyewe zinaelewa hivyo kwanza hazitaki kubanwa banwa..ziko pisi kama hiyo ni za kuweka ndani na kutulia nazo.
😅😅😅 wiki moja tu, tukikaa pamoja kuna shida gani