Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wivu haujengi, wivu unabomoa... kikubwa heshima tu..kama mwanaume anakupa heshima zote unazo stahili wivu unatoka wapi ?

Mke mkubwa anabaki kuwa mlezi ,
Hahaha kwa ulivyo busy , mke mkubwa atakufaidi sana ... Mie nazidi kubaki na upweke lol .

Si unajua sie wanawake labda sijui ufanyajeje wake zako wapendane hivyo .
 
Okay , upo sahihi
Muda mwingine ni mzuri
Hiyo ni njia yangu , nitapita tu siku
Hata Yesu Kristo kuna mda alikuwa anajitenga mahala pa upweke na kuwa peke yake.

Usihofu.. kwa mda sahihi na mtu sahihi kiu yako itakatwaa.. Mwakani hapo tunakula mchele wako hapo
 
Amen aisee ....
Mungu ni mwema
Nimekaa na familia then nikaja kukaa mwenyewe aise inaboa kuwa mwenyewe nitazoea
 
Hahaha kwa ulivyo busy , mke mkubwa atakufaidi sana ... Mie nazidi kubaki na upweke lol .

Si unajua sie wanawake labda sijui ufanyajeje wake zako wapendane hivyo .
Kupenda wake wenza mbona rahisi sana.. ni kuhakikisha mwanaume ana create mazingira ya lazima ya wote kuona wana umuhimu hata kwa ku create tatizo ambalo litawakutanisha na kila mmoja kumu appreciate mwenzake... Busy ndio nzuri ukiwa.mbali na bi mkubwa unakuwa karibu na bi mdogo mzani una balance vizuri kabisa 😊😊
 
Karibu uchangie Mkuu
Tupate somo toka kwa wazee
Sina la kuchangia, mmemaliza mambo yote ya msingi, kilichobaki sasa ni wewe na mkuu wangu National Anthem kuweka tofauti za kiitikadi pembeni na kuona ni jinsi gani mnaweza kutoana huu upweke mnaosema mnao. Haya mambo yanawezekana sana mkuu. Sisi kama wazee tutalisimamia hili lifanikiwe
 
Amen aisee ....
Mungu ni mwema
Nimekaa na familia then nikaja kukaa mwenyewe aise inaboa kuwa mwenyewe nitazoea
😊😊😊 Ndio ukubwa na ndio ukomavu unaanza hapo kwenye kujitegemea.. Basi unanikaribisha hata kwako siku moja mjomba .. mie sina athari yoyote
 
Kupenda wake wenza mbona rahisi sana.. ni kuhakikisha mwanaume ana create mazingira ya lazima ya wote kuona wana umuhimu hata kwa ku create tatizo ambalo litawakutanisha na kila mmoja kumu appreciate mwenzake... Busy ndio nzuri ukiwa.mbali na bi mkubwa unakuwa karibu na bi mdogo mzani una balance vizuri kabisa 😊😊
Ndo hadi Bi mkubwa akuabali aisee bila baraka yako hapo hayaendi

Kwanza atakuhoji umekosa nini kwngu hadi ukaamua kwenda nje ?
Umtulize kwanza
 
Sina la kuchangia, mmemaliza mambo yote ya msingi, kilichobaki sasa ni wewe na mkuu wangu National Anthem kuweka tofauti za kiitikadi pembeni na kuona ni jinsi gani mnaweza kutoana huu upweke mnaosema mnao. Haya mambo yanawezekana sana mkuu. Sisi kama wazee tutalisimamia hili lifanikiwe
Hahaha chitchat hii tu

Bwana National amenogewa na penzi humuoni ana furaha sana siku hizi , chezea ndoa changa
 
😅😅😅😅 mzee unanikatia wayaaa. mie sina athari kikubwa tu nijue nyumba analipa mweyewe au
Mimi kama mzee wa mji wa jf nina jukumu la kuhakikisha hawa binti zangu hawawi sehemu ya starehe za vijana wa humu. Toa mahari na kila kitu tukupe binti mbichi kabisa huyu🤣🤣
 
Hahaha chitchat hii tu

Bwana National amenogewa na penzi humuoni ana furaha sana siku hizi , chezea ndoa changa
Mambo mazuri yanaanza na chitchat mkuu. Hata sisi wazee wenu tulianza hivi hivi na utani kidogo, leo hii tumetengeneza miji yetu.
 
Back
Top Bottom