Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,146
Watt wa ARU soo poa..... nimepata ushu ya kunileta huko january so ni kuja kulea tuu🤣🤣😅😅😅 watoto wapo tu, wamejaaa ni ulezi wako tu
Watt wa ARU soo poa..... nimepata ushu ya kunileta huko january so ni kuja kulea tuu🤣🤣😅😅😅 watoto wapo tu, wamejaaa ni ulezi wako tu
😅😅😅 utakuwa mzazi mleziWatt wa ARU soo poa..... nimepata ushu ya kunileta huko january so ni kuja kulea tuu🤣🤣
Ila kuna hawa waliotoka school juz juz hapa📌📌🤣😅😅😅 utakuwa mzazi mlezi
😅😅😅😅 Deal ni kuwa mzazi mlezi tuIla kuna hawa waliotoka school juz juz hapa📌📌🤣




Ladies take note. Ukiona anachelewesha mambo, jichukulie sheria mkononi...Muda wa kusubiri uchumba miaka miwili+ mtu anakukula na kukupakua apendavyo wakati hujui status yako kwake haupo!
View attachment 2451605





ngoja nikamfanyie mtu, atake asitake lazima avae tyuuh. Shikamoo BabuLadies take note. Ukiona anachelewesha mambo, jichukulie sheria mkononi...Muda wa kusubiri uchumba miaka miwili+ mtu anakukula na kukupakua apendavyo wakati hujui status yako kwake haupo!
View attachment 2451605
Kwa nini mtu akukule for 5+ months halafu hana mwelekeo wo wote na wewe mjukuu? Mpige na hili tukio uone mbivu na mbichi





Marahaba mjukuu...Shikamoo Babu
Akikataa je ?

Marahaba mjukuu...
Akikataa si ndo unajua kuwa hana malengo na wewe...na unampiga chini!
Mwaka unatosha kwa kweli...ila kuanzia miezi 7 huko unaanza kupush ili uone kama kuna mabadiliko na potential ya mahusiano kwenda level nyingine...Asante sana kwa mwongozo ..
Baada ya mwaka ndo usubiri au ?
Kule umesemaCool sana! Hivi National Anthem ana nini na sisi?
Usubiri nini Tena?Asante sana kwa mwongozo ..
Baada ya mwaka ndo usubiri au ?
Okay , asante sanaMwaka unatosha kwa kweli...ila kuanzia miezi 7 huko unaanza kupush ili uone kama kuna mabadiliko na potential ya mahusiano kwenda level nyingine...
Aanze kukuchumbia
Hayanaga mwongozo na hakuna fomyula mjukuu. Ndo maana akina Shilole wanaolewa kila leo na kuna wengine hakuna kitu....maisha yako hivyo. Kila mtu na safari yake ndiyo maana tunashauriwa sana kutoiga mambo ya wengine au kujilinganisha nao!Okay , asante sana
Huu mchezo wa mahusiano ni wa kijinga .
Wengine hata hawateseki chap tu wanafunga ndoa na childhood sweetheart .
Wapi huko alikofunga breki jamani😂😂😂Kule umesema
Breki umezifunga
Sasa unatafuta Nini Kwa
Li shangazi sophy27 ?!
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Hata wewe shangaziWapi huko alikofunga breki jamani![]()
Kwakweli hebu muulize vizuriCool sana! Hivi National Anthem ana nini na sisi?