Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣🤣🤣🤣

Messi is a G.O.A.T

Never have i ever denied that fact..

Actually would be better kama ningekuwa naquit sabb i want to deny that fact..

Just tired.

Pole , he's the greatest player of our generation
He won the ballon d'or seven times hivi .. Au wewe team ni Cr7 ?
 
Screenshot_20221218_221113.jpg
 
Baada ya kulikimbia hili jukwaa for almost 4 months, nimerudi leo nikeshe humu labda nitaepuka kelele za kipigo cha France.

Huko kwingine hakutamaniki.
Karibu sana

Na uzuri ni kwamba Anna Wigee

Aka Saint Anne ambaye ni shabiki

Lialia wa livakuku mwenye mdomo kama chuchunge

Na maneno yote ya shombo unayoyafahamu

Ni mnazi wa France walevi hivyo bhas

Huko alipo atakuwa amezimika

Kwa muktadha huo

Upo sehemu salama



Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Kama nimekupita 10 maana yake you age mbele ya 15 kidogo..

Actually by big i meant status ya value.. Yes the most valuable...

Naendelea vizuri though i have a bad feeling going on my mind...

Hope uko poa kabisa..
Ukaona ukijiita Duni

Haileti maana sio

Ukaona Doon ndio mwake

Wapemba mna vituko

Mkiijua lugha ya malkia!?



Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
On my side I've enjoyed this world cup since it's amaizing .
You get a chance to know different players around the globe . read their stories , background etc .

And the most popular sports ..inakupa thrilling experience hivi
Nilishakukataza

Husikii kwanini

Unanionaje

Dharau hizi sasa

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom