donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
Hakuna neno mkuuKichanganyio cha azam energy tumekiona enjoy ur wikiend mkuu
Hakuna neno mkuuKichanganyio cha azam energy tumekiona enjoy ur wikiend mkuu
Huyo ni shemeji yangu mkuu ana mtu wake banaYolly yolly
Aambiwe Kuna mwenzake
Chap kwa haraka
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Team France au Argentina wwFainali unaiangalia wapi baba yolly
Ukae ukijua deni linazidi kuongezeka na interest zake 😔😔😔🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nilijua ntakuona niku-wish face to face 🥴🥴
Selfika mdogo wangu
Sina picha kaka .Selfika mdogo wangu
Team Mbapeee💃;!!
Weuweeh ngoja tuone mtinange utaendaje Leo .Team Mbapeee💃;!!
Kabisaa dear!!Weuweeh ngoja tuone mtinange utaendaje Leo .
Tuwashibikie weusi wenzetu .
Marahaba mdogo wanguSina picha kaka .
Shikamoo .
Namshukuru MunguMarahaba mdogo wangu
Uko poa?
Mimi niko salama kabisaNamshukuru Mungu
Joto tu huku vipi wewe
Jambo jemaMimi niko salama kabisa
Selfika basi mpishiCook & selfika na chakorii
View attachment 2450815
Nimeamua niselfishe mboga kwanza..😂😂Selfika basi mpishi