Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Cool azz Sunday for a picnic, and we might pick a knick.
Nawe unapaswaHapana Mjomba yani nikiwaza haya mautamu makeke yotehaya nahili bororiee anapenyezewa mwenzangu uwiiiii!! Hapanaaa!!
😊😊😊 ndani heshima mwanzo mwisho.. ndani tunaishi kwa miongozo ila nje hakuna refa wala hatwendi kwa miongozoKama malaika🤣🤣🤣🤣!
Hakika mwastahili pongeziAmen amen! Pongezi tumezipokeaaaa![]()
Hapana Wige mie nikipenda mtu sina tabu kabisaaa natulia!! Kuhangaika hangaika Mwisho nipate lakulipata tu sijui ntasema nani kaniambukiza akhaaa!Nawe unapaswa
Kupata bororiee
Tofauti tofauti
Sio unakalia kibamia tu
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Kama nakuona malaikaaaaaa😁😁😁😁🤣🤣🤣!!😊😊😊 ndani heshima mwanzo mwisho.. ndani tunaishi kwa miongozo ila nje hakuna refa wala hatwendi kwa miongozo
😅😅😅 sina makuu mie nimetulia zangu safiii.. najilia mema mie, vurugu za vijana siziweziKama nakuona malaikaaaaaa😁😁😁😁🤣🤣🤣!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbona mie huja niwish 😑😑😑😑 hujaniletea keki wala chocolate
AlooooCool azz Sunday for a picnic, and we might pick a knick.
View attachment 2450559
View attachment 2450560
Tunaokunywa soda ndyo tunatesekaEasy Sunday View attachment 2450609
Mkuu mbona mimi natumia Bavaria hapoTunaokunywa soda ndyo tunateseka
Una tuhuma za kumtia ujauzitoAloooo
Kvant ww ni mkemia mzur sana kijanaMkuu mbona mimi natumia Bavaria hapo
Una tuhuma za kumtia ujauzito
Tinsley
Thibitisha hapa jamvini
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app











Yolly yolly
Mkuu umeona hapo ni mtu mmoja?Kvant ww ni mkemia mzur sana kijana
Fainali unaiangalia wapi baba yolly
Kichanganyio cha azam energy tumekiona enjoy ur wikiend mkuuMkuu umeona hapo ni mtu mmoja?