Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Ndugu hujamboo..Dah!
Ndugu hujamboo..Dah!
Sina hata majukumu mengiUtakuwa Uko na majukumu mengi
Naendelea vyema sana.ninaimani huko ulipo unaendelea salama na wapendwa wako wote.Sijambo dada yangu.
Unaendeleaje..
Pole , I guess ndo mpira huoUssshhhhuuuuunggguuuuuu 😭😭😭😭😭
Haya T punguza uvivu tule ubwabwaSina hata majukumu mengi
Mvivu wa kupika chakula nikiwa mwenyewe ...ningekuwa na company ndo raha .
Pound kama 2500 hivi 😏😏Jamani....interest imefika ngapi mpaka sasa hivi???🥴🥴
Rudi kwenye uzi wa fitinaa MMU hukoo🤣🤣😠😠Baada ya kulikimbia hili jukwaa for almost 4 months, nimerudi leo nikeshe humu labda nitaepuka kelele za kipigo cha France.
Huko kwingine hakutamaniki.
Will doHaya T punguza uvivu tule ubwabwa
Watu wa Dodoma na Mwanza wamekiwasha sana kwenye ule uziRudi kwenye uzi wa fitinaa MMU hukoo
ussshhhhuuuuunggguuuuuu


.Weee kumbe!!! Mi Tangu ule muda nilitokaa sijaingia tena kwenye huo uzi kumbe palichimbika lol😁! Wameandamanaaa🤣Watu wa Dodoma na Mwanza wamekiwasha sana kwenye ule uzi.
Hahaha wameandamana bwana😄Weee kumbe!!! Mi Tangu ule muda nilitokaa sijaingia tena kwenye huo uzi kumbe palichimbika lol😁! Wameandamanaaa🤣
Ooh Thank you D ...Kama nimekupita 10 maana yake you age mbele ya 15 kidogo..
Actually by big i meant status ya value.. Yes the most valuable...
Naendelea vizuri though i have a bad feeling going on my mind...
Hope uko poa kabisa..
Ooh pole , I felt sad too lakini we just have to accept the results.Thanks,
I feel this is my last world cup tournament as a proudly football fan.
Kwani nchi inauzwa lini nichukue mgao wangu nilipe deni kabla halijanizidi nguvu.😵😵Pound kama 2500 hivi 😏😏
On my side I've enjoyed this world cup since it's amaizing .Thanks,
I feel this is my last world cup tournament as a proudly football fan.
🤣🤣🤣🤣
Messi is a G.O.A.T
Never have i ever denied that fact..
Actually would be better kama ningekuwa naquit sabb i want to deny that fact..
Just tired.
Asante sana kaka Kwa kuchagua niwe sehemu ya faraja yako hapa jukwaani.Nimefurahi sana kusikia hivyo dada yangu..
Wewe ni sehemu ya faraja yangu hapa jukwaani...
Najivunia uwepo wako hapa jukwaani..
Mungu azidi kukubariki..