Emery Paper
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 1,427
- 2,737
Nimebaki na Cavs yetu. Kuna hawa jamaa wanajiita Clippers msiwasahau aisee. Wana Klaw, P.George, Luo Williams, M. Harrell, hawa kila mechi wakiwa uwanjani una uhakika wa kupata production ya kutosha aisee.Nipo na harden...huston rockets wasipobeba tena msimu huu ndio basi tena
