sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Yes kama hiyo mpendwa
Hivi kipara bado kipo....Yes kama hiyo mpendwa
Kaone hebu tupia picha na weweJapo umeifuta picha ako nimeiwahi ichunguliaa😊😁😁
Hapana.Marhabaaaa
Hivi ndio final yr eeeh
Aisee....kumbe upo? Huo sio mstari wa Birdman ' Js on my feet.....smiles on my seat(cardillac logo on headrests)...on your feet
Yeah kuna baadhi nazikubali nataka nifanye ustaarabu wa kupata walau mbili tatuHuwa nanunua Retro....zile za zamani kila mwaka wanatoa mojawapo
Nilikosea nilijua picha yako ni ile ya Watu8 😁😁Booti hizo.... hahahaa
Kipara kipi hicho mpendwa 😁Hivi kipara bado kipo....
!
Aisee....kumbe upo? Huo sio mstari wa Birdman ' Js on my feet.....smiles on my seat(cardillac logo on headrests)
Za zamani ziko vizuri sana...my fav ni kama hii niliovaa 6 na 13 nafikiri nitaitafuta baadaeYeah kuna baadhi nazikubali nataka nifanye ustaarabu wa kupata walau mbili tatu
Yako umefuta unaiga katabia kanguIla usifute fute picha utamaliza kiftio
Hivi freebasics inaruhusu ku upload?Kaone hebu tupia picha na wewe
Sijambo shikamoo
Ha ha ha sometime tunajilipua tuAghali mno







Hapana.
Nlishamaliza certificate yangu kitambo
Nawaza kuanza diploma.
Yes hata mimi natumia freebasics😁Hivi freebasics inaruhusu ku upload?