National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Mbona mie nazama mzima mzima na hamnitaki humu π π πMapenzi bado yapo aise sema ndio vile mnawindana.
Binafsi nikupenda nakuwa kama phaller na ninakuwa na utulivu wa kamakitoto cha nyau..tatizo sasa unajikuta umezama Kwa docta manyau nyau
Mbwa kala kitoto cha ngedereπππ
This thing called mapenzi ni uto fc
Umejitetea snaaπππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbukaaa kituuu.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] sina hela sasa unafikiri angekubali kufa na njaaa..
Mbona βtumeβkwani na mimi Nina husika?Mbona mie nazama mzima mzima na hamnitaki humu π π π
π π π unakumbuka ulivyoni knockout PM, ati nisikuweker kiwingu, bado nanuka penseli ila nyie watu jamani ,na mie na moyo sana π€£π€£π€£Mbona βtumeβkwani na mimi Nina husika?
Huu ni waya mkuu au gundi kwenye huo mfuniko wa injini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear nacheka km chiziiiiii. Niliwahi kuzama kwa mtu wakati fulaani, helaa yangu yote ya matumizi nilimpa yeye atatulie tatizo lake ila lilinikutaaa jamboooo, kheeeeeh siwezi rudia ujinga wa kuzama hovyooooo.Mapenzi bado yapo aise sema ndio vile mnawindana.
Binafsi nikupenda nakuwa kama phaller na ninakuwa na utulivu wa kamakitoto cha nyau..tatizo sasa unajikuta umezama Kwa docta manyau nyau
Mbwa kala kitoto cha ngedere[emoji23][emoji23][emoji23]
This thing called mapenzi ni uto fc
Kiakili changu kina load slow mambo hayo lol ..sijui kitaelewa .Sio mbili tatu mama..yani ni ujifunze vingi tuππ
Ongeza sauti puliiiiiiiizzzzzz hawajasikiaaaaaaa.Tunapendana ( kupenda kusikufanye uwe mjinga ) [emoji28][emoji28][emoji28]
ukiwa kwenye uwanja wa vita usiamini mtu [emoji28][emoji28][emoji28]
ila kumwagwa ni sehemu ya maisha, shida ukikaza fuvu ndio utamia .. πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbukaaa kituuu.
Kuna jamaa anafanya kazi NSSF, yulee bhanaaa alikua ananifatilia tangu 1St yr mie hata cmtaki, anakuja chuo na ndinga yake anabeba zawadi na pesa, mie hata sina habari nae. Mara anamtumia rafk angu anishawish kunipataaa, rafk angu ananisema etii oooh unakataa penye ulaji unataka nn sasa, nkawa namuambia siwezi kuwa na mtu nisiempenda.
Siku hiyo sasa kaja chuo, km kawaida yake yule jamaa kuna masharti nilimpaaa, ili niwe nae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna alishindwa, na nilijua lazima ashindwee. Ikaisha hiyooooooo.
Tunaamwaga watu kijanjaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π hakuna kuaminiana asee.. mapenzi yana uongo uongo mwingi sana hasa kwa mbao damu zao bado za moto.. kidogo ukikuta watu wamekata ringi mnaishi yani unakuta kaisha funga ukurasa ila ukitukuta vijana wa sinza mori lazima tukuwashe π€£π€£π€£Ongeza sauti puliiiiiiiizzzzzz hawajasikiaaaaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hapa ni wapiii???Huu ni waya mkuu au gundi kwenye huo mfuniko wa injini?
Niliwahi kupanda Boeing ya ATC zamani kabla Magu hajanunua hizi mpya aisee ile ndege ilikuwa imechoka. Nilikuwa siti ya dirishani na hapo tu ubavuni karibu na mabawa kulikuwa na rundo la waya peupe tu linaning'inia. Nilisali kila aina ya sala yaani lakini hao tukatua Mwanza salama....
Happy holidays [emoji1545]
View attachment 2449570
vunga mwamba . acha kutoa siri basiπ π π unakumbuka ulivyoni knockout PM, ati nisikuweker kiwingu, bado naku penseli ila nyie watu jamani ,na mie na moyo sana π€£π€£π€£
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeee sanaaaila kumwagwa ni sehemu ya maisha, shida ukikaza fuvu ndio utamia .. [emoji16][emoji16][emoji16]
Ukimwagwa unakaa zako pembeni tu maisha yanaenda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nimekaa naandika majina ya wote walio nikataa toka chekechea hadi umri huu nianze wafatilia mmoja baada ya mwingine [emoji28][emoji28][emoji28]
Mjukuu. Nipo mlimani.
Ulilogwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear nacheka km chiziiiiii. Niliwahi kuzama kwa mtu wakati fulaani, helaa yangu yote ya matumizi nilimpa yeye atatulie tatizo lake ila lilinikutaaa jamboooo, kheeeeeh siwezi rudia ujinga wa kuzama hovyooooo.
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π kila aina ya sala ili mfike salama au ukirudi nyumbani ufike mikono salama ya MuumbaHuu ni waya mkuu au gundi kwenye huo mfuniko wa injini?
Niliwahi kupanda Boeing ya ATC zamani kabla Magu hajanunua hizi mpya aisee ile ndege ilikuwa imechoka. Nilikuwa siti ya dirishani na hapo tu ubavuni karibu na mabawa kulikuwa na rundo la waya peupe tu linaning'inia. Nilisali kila aina ya sala yaani lakini hao tukatua Mwanza salama....
Happy holidays [emoji1545]
View attachment 2449570
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sinza Palestina. Uwiiiiiih[emoji28][emoji28][emoji28] hakuna kuaminiana asee.. mapenzi yana uongo uongo mwingi sana hasa kwa mbao damu zao bado za moto.. kidogo ukikuta watu wamekata ringi mnaishi yani unakuta kaisha funga ukurasa ila ukitukuta vijana wa sinza mori lazima tukuwashe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo utulize akili sasaKiakili changu kina load slow mambo hayo lol ..sijui kitaelewa .