Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aaaah sikuamini wewe kama unataka kuhamia kwetu kweli. Vipi unaenjoy lakini jijini kwetu?
Kweli tena Tumerudi na kuhamishiwa Huku kikazi sasa sitaki tena ujinga wa kukaa mbali na familia mimi!!
Ndio nimekuja kufuatilia process za huku nimeambiwa nichague Wilaya!
Kyela sitaki kuna jotooo balaaaa
 
Back
Top Bottom