Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,224
Ndo naja navyo MbudyaVisendo vya manyoya 🤣🤣🤣🤣🤣
Sijawahi kuvielewa
Mkitaka mnifukuze
Ndo naja navyo MbudyaVisendo vya manyoya 🤣🤣🤣🤣🤣
Sijawahi kuvielewa
😄😄 mtu anawekeza mda anatokea mwenzake anawekeza hela, mda , na ujuzi..
Hakuna usafiri??Nitawaombea... Tuanze mwaka vizuri .
Sawa love kwanza nimechelewa hadi nifike kule jioni
Hizo Low quality za nn sasa 🤣🤣🤣Ndio status uturushe roho 🤣🤣
🤣🤣🤣Mwanga mwenyewe
😂😂😂😂😂 nitapost ile picha ya usiku?🤣🤣🤣
Ona mnaanza kujionyesha wenyewe
Hamuwezaji kupretend hata
Twasubiri high quality dyadya 🤣 🤣Hizo Low quality za nn sasa 🤣🤣🤣
MlebanonKama ni wako ni wako tu hata azunguke dunia nzima still kuna ile roho fulani hivi
Ndiomana wengine wanazungukaa weee na yanawashinda huko badae anajutia ujinga aloufanya Huku unamcheka tyu nhihihi![]()
High quality post picha siku husikaTwasubiri high quality dyadya 🤣 🤣
Hahahahaaaa😂😂😂😂😂 nitapost ile picha ya usiku?
We nichezee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣😂😂
Si mpaka unidakeHahahahaaaa
Nitakubutua aki🤣🤣🤣
Tutakurusha bahariniNdo naja navyo Mbudya
Mkitaka mnifukuze
Namwambia kaka akulime blockSi mpaka unidake
Ndio umeona uni block nisikuone 😅😅😅😅😂😂😂😂😂 nitapost ile picha ya usiku?
We nichezee
Hujaoga tu Wige?? Acheni kujadili watu wanapelekewa hizi taarifa mjue mie simooo!!
Ulishanishinda tabia
Labda kama Mungu ameamua hayo mahusiano yavunjike
Ila vinginevyo aiseee atavuna alichopanda huyo mwambaView attachment 2448820
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Daladala zipo sema parefuHakuna usafiri??
Bado sijaelewaNdio ndio, ufundi unaweza ukawa nyumbani au kiwandani huko, Love technician , au civil technician