Selfika na JF: Snap it. Show it

Abeee πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi nikiona mtu haeleweki namuuliza mapema
Kwanza hekaheka zangu duh!
Mapema sana ntamchosha.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kama ni wako ni wako tu hata azunguke dunia nzima still kuna ile roho fulani hivi
Ndiomana wengine wanazungukaa weee na yanawashinda huko badae anajutia ujinga aloufanya Huku unamcheka tyu nhihihi 😁
 
Ushakidhi vigezo, tulia tukuonyeshe who we areπŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

I pray oo
 
Labda kama Mungu ameamua hayo mahusiano yavunjike
Ila vinginevyo aiseee atavuna alichopanda huyo mwamba

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni wako ni wako tu hata azunguke dunia nzima still kuna ile roho fulani hivi
Ndiomana wengine wanazungukaa weee na yanawashinda huko badae anajutia ujinga aloufanya Huku unamcheka tyu nhihihi 😁
Bora wewe dishi leo limekaa vizuri umeonge pwoint πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mimi nikiona mtu haeleweki namuuliza mapema
Kwanza hekaheka zangu duh!
Mapema sana ntamchosha.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hakuna haja ya kuulizaaa unajiongeza kiutu uzima bila makelele wala fujo!! Mwenyewe kama ana akili timamub nafsi itamsuta ukute Akili kama za mjomba National Anthem sasa🀣🀣utajutraaa
 
Kama ni wako ni wako tu hata azunguke dunia nzima still kuna ile roho fulani hivi
Ndiomana wengine wanazungukaa weee na yanawashinda huko badae anajutia ujinga aloufanya Huku unamcheka tyu nhihihi
Azunguke dunia nzima afu arudi anikute nipo hapo hapo na nimpokee?
Labda km siyo Mimi.

Ni kusonga mbele kama injili,hata dakika 3 tu zikipita,akigeuza kurudi anakuta nishatembea mbele.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Labda kama Mungu ameamua hayo mahusiano yavunjike
Ila vinginevyo aiseee atavuna alichopanda huyo mwambaView attachment 2448820

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ukisikia dua ya kuku haimpati mwee ndio hizo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kwanza karma inakugomea mlikuwa mna zini wote wadhambi, bora mmeachana msiendelee kufanya dhambi.. karma inafanya kwa walio kuwa ordained na Mungu au walio na ndoa.. ila tunao okotana huku chapa ilale
 
Kama ni wako ni wako tu hata azunguke dunia nzima still kuna ile roho fulani hivi
Ndiomana wengine wanazungukaa weee na yanawashinda huko badae anajutia ujinga aloufanya Huku unamcheka tyu nhihihi 😁
Uongoo
Hiyo ni uongooo

Tunajirarijigi tu
Unakuta unamtext anakujibu
Haimaanishi anakukumbuka 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…