Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,551
- 235,319
Dah[emoji3064]Ni ile unampenda MTU ila yeye hana habari
Hakuna kosa nililofanya
Najionaga sijui kuangalia mtu nawazo yake .. Naamini watu easy kweli hapo ndo nafeli
π π π π Unata slowGhafla sana mbona
Asante aiseeeNakusisitiza tena, wanaume baba yao ni 1. Kuwa makini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16]Pigo la fainali silipatii picha![emoji16]
π€£π€£π€£π€£Kuna visavisa fulani hivi vikianza unajua kabisaaa this is red alert....πππ!! Unajiandaa kwa loloteπSema Mimi mwenyewe zoba nilishindwa vipi kujua mtu shoti kihivyo .
Mimi pia nilikuwa mjinga sikuona redflag yaaniDah[emoji3064]
Sasa kama hakukupenda si angesema ili usiendelee kupoteza muda bure.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli mapenzi ni nyokooooooo khaaaah.Hebu shangaa na wewe Coca
Huyo jamaa atakuwa na undugu ya Shetani,si ajabu ni Ankoli wa mapembe.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nimechekaa kifwalaaaaa
Hapo kimekukaba π€£π€£Em kata bwana ππππ
Yan nna kitu kimenikaa hapaaaa
Ulimtoa JF? au huko mtaani?Ni ile unampenda MTU ila yeye hana habari
Hakuna kosa nililofanya
Najionaga sijui kuangalia mtu nawazo yake .. Naamini watu easy kweli hapo ndo nafeli
Dah!Mimi pia nilikuwa mjinga sikuona redflag yaani
Tumekaa pale tunasubiri limpate mtendaNimechekaa kifwalaaaaa
Kinaninyongaaaaa ππππHapo kimekukaba π€£π€£
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear poleeeee sanaaa, aseeehHahhaahhhh
Mweh mnanijaza jamani hivyo vyote nimevitolea wapi hahahaaa
wanaume ndo wanapenda kuutumiza sie wapole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chapaa ilaleeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Nacheka kama mazuri vilee
Weee tuendelee kujifariji π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chizi sana Dogo
Malipo ni hapahapa duniani.
Ila ili yafanye kazi,lazima usijichoshe Kwa namna yoyote ile kulipa.
Mwachie Mungu alipe.
Yaani kama alimuumiza mtoto wa watu bila sababu aisee atalipwa tu.
Mungu ni wa haki.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Siyo kujifariji.Weee tuendelee kujifariji [emoji23]
π€£π€£Kinaninyongaaaaa ππππ
Kanuni ya mapenzi huijui dear? Mguu m1 ndani mguu m1 nje.Mimi pia nilikuwa mjinga sikuona redflag yaani
ππππ€£π€£
Namalizia kuongea na mama hapa, takupigia shoga angu