Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Bora usiweke ni mateso yani .. Bora dryer la mkono kuliko yale madude ni mateso tu.Ndiomana naogopa kuweka dawa mie ule motoo🙌🙌🙌🙌!!
Bora usiweke ni mateso yani .. Bora dryer la mkono kuliko yale madude ni mateso tu.Ndiomana naogopa kuweka dawa mie ule motoo🙌🙌🙌🙌!!
Tena ukute ndio umeenda kuretouch na steaming, unakaa kwenye moto hadi ukitoka hapo unaumwa kichwa.Urembo kazi aisee ,nikikaa kwenye dryer najiuliza hivi nimetumwa ...madryer mengine mabovu ukikaa tu unasikia moto mwanzo mwisho .
Hujaweka dawa kumbeNdiomana naogopa kuweka dawa mie ule motoo🙌🙌🙌🙌!!
Halafu picha zinampita tu tangia janaUtamwambia Anne haamini nimekua kimodooo 😁😁!
Sikuhizi nameinteinn lol!!
Tena ukute ndio umeenda kuretouch na steaming, unakaa kwenye moto hadi ukitoka hapo unaumwa kichwa.
Yaani hao wanaolala mwenyewe hua siwaelewi 🤣Ile ya steaming ndo kiboko aiseee inauma , mimi nawaambia nataka unifanyie moja kwa moja ile ya kukaa kwenye dryer ..
Nashangaa wengine huwa hadi wanalala kwa ule moto
Sijaweka kabisa! Nakule kuungua uwiiii!!Hujaweka dawa kumbe
Japo ukijiangalia kwa kioo unapendeza nywele ukitoka saluni.
Behind the scene ni mateso
Natural hair nayo nzuriSijaweka kabisa! Nakule kuungua uwiiii!!
walimu hatuzeekagii 😁😁!Halafu picha zinampita tu tangia jana
Kwa style hyo uzee hautakunyemelea
Yaani hao wanaolala mwenyewe hua siwaelewi 🤣
Me nilinunua hand dryer so nilikua najifanyia mwenyew kuosha napaka leave in conditioner.
Nikaepukana na mateso ya ule moto wa salun
Walimu mna kitu yenu special mlibarikiwa nayo inawaepusha na uzee wa reja reja 😅walimu hatuzeekagii 😁😁!
unene / uzito sana sio poa kabisa!!
Eeh linasave sanaMie siwezi vumilia ule moto maana unaupenya ile mbaya. Naachia dryer tu kwa juu ... Akitokea narudisha .
Dryer la mkono linasave sana ,huhangaiki ni fasta tu .
Afu zimejaa hapo juzikati zilibadilika kuanza kuwa brown!!Natural hair nayo nzuri
Kuungua ni balaa, labda akuwekee moto mdogo
Mchina anatusave kwa kweli .Eeh linasave sana
Zimejaa vizuri hadi rahaAfu zimejaa hapo juzikati zilibadilika kuanza kuwa brown!!
Hii ya nywele kuwa brown hua nahisi ni asili ya mtu, ila sasa kubadilika hee kwanini sasaAfu zimejaa hapo juzikati zilibadilika kuanza kuwa brown!!
KabisaMchina anatusave kwa kweli .
Vitu vidogo vya kurahishisha maisha
Itakua mafuta nilibadili mafuta nilokua natumiaHii ya nywele kuwa brown hua nahisi ni asili ya mtu, ila sasa kubadilika hee kwanini sasa
Basi hiyo ndio sababuItakua mafuta nilibadili mafuta nilokua natumia
Afu nimechoka kusuka sasa!!Zimejaa vizuri hadi raha
Mwanamke uhair bhana .