Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Leo huendi gym 😁😁??? Au Jioni 😎😎😎😛Santee dear 😍
Hahaa ngoja nifanye namna
Kwa akili zako mbili Ushawaza matusi hapooo mmxxcieeewww!!!Shem una upaja![]()
Sijambo jirani, unaendeleajeJirani uhali gani
Embu nione upaja wako mamiii wangu wa ukweli AntonniaKwa akili Ushawaza matusi hapooo!
We madam muonyeshe mwenzioIli ugundue nini mmxxcieeewww!!
Weka wakoooo
Salama kabisa mkuuSalam kwenu wadau
Safiiii mkuuSalama kabisa mkuu
. Wengine ndo wanatuita rough hivyo yaaniHahahaa eti mshamba
Unakua zako simple but beautiful
picha kali, umependezaHello Friday📸View attachment 2448485
Hahaa huko nitaenda jioniLeo huendi gym 😁😁??? Au Jioni 😎😎😎😛
Ebu tuone. Wengine ndo wanatuita rough hivyo yaani
Kama mie nimezidi sijatrim eyebrows yaani hapa natisha ..
Santee dearpicha kali, umependeza
Hatari na nusu😍
Sina mwenzangu humu miee 😎!We madam muonyeshe mwenzio
Hatari lakini salama blazaHatari na nusu😍
Umependeza mamaa 😘😍😍😍