cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,240
Kaa hapo hapo.Nip0
Kaa hapo hapo.Nip0
Dakika ngapiKaa hapo hapo.
Nilikuwa namtibiaKuna mahali nimekuitaa
Weeee
Au mpk nije wasap? Huku hunijui
Nimekasirika
Nakusemea kwa kaka mzuri
SitakiJamani wapi tena jirani mzuri?
Ndio ukweliAhaaa kumbe!! Basi sauwaa!!
wafupi sijui tulikosea wapi dah, mpk kero huu ufupi

mweusi halafu mfupi, dah lzm nipate tabu,ndo maana mke nililetewa toka matombo

Hahahaa kumbe eehYupo mawindoni huyo
Kaa chonjo
Hujambo dadaake
Hebu niambie mwaya jirani yangu mzuriSitaki
Tena ana tender
Jukwaa gani nikimbie fastaTena ana tender
Achangamke fasta hela isimpite hiyo
Ngoja nicheki notifications then nakutag saii saiiiJukwaa gani nikimbie fasta
Nimekutag kwa huo uziJukwaa gani nikimbie fasta
Ngoja nikusaidie mama WigeJukwaa gani nikimbie fasta
Mbona hatukukuona jana 🤣 lkn unaujuaNgoja nikusaidie mama Wige
Usije kosa wateja
![]()
Hii ndio zawadi yangu ya Birthday kwa huyu mpenzi wangu
Habari mabibi na mabwana, kuna binti nilikutana naye kwenye basi nikatokea kuvutiwa na yule binti, bahati nzuri nilimuomba namba akanipa so tukawa tuna wasilina kila siku. Sasa hapa juzi alikuwa anasherehekea birthday yake akaniomba zawadi, tangu tuachane siku hiyo stendi hatujawahi kuonana...www.jamiiforums.com
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app