Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Yan we ni kambea jamani
Mno🤭😂😂😂😂😂Yan we ni kambea jamani
Asante mama, ngoja nichekiNimekutag kwa huo uzi
Asante sana mama mchungaNgoja nikusaidie mama Wige
Usije kosa wateja
![]()
Hii ndio zawadi yangu ya Birthday kwa huyu mpenzi wangu
Habari mabibi na mabwana, kuna binti nilikutana naye kwenye basi nikatokea kuvutiwa na yule binti, bahati nzuri nilimuomba namba akanipa so tukawa tuna wasilina kila siku. Sasa hapa juzi alikuwa anasherehekea birthday yake akaniomba zawadi, tangu tuachane siku hiyo stendi hatujawahi kuonana...www.jamiiforums.com
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app

Naanzaje kusahau kwa mfano, hivyo vichambo vyake sitaweza kustahimili mimi
😂😂😂😂😂 unaogopa minenoNaanzaje kusahau kwa mfano, hivyo vichambo vyake sitaweza kustahimili mimi
Zawadi itakufikia a day before your big day
Nakujua vizuri wewe 🤣🤣😂😂😂😂😂 unaogopa mineno
Imeisha hiyoGold beibeeeee 🤪🥰🤗
Weuweeeee mama subaruuuuImeisha hiyo
Na ana makelele si mchezoSave kwa Google Calendar.
Itakukumbusha mapema sana kabla hujaanza kupigiwa makelele.
Then unikumbushiepo na mimi.
Tusimdekeze sana lakini. Atakuwa mzigo kwa mumewe.Na ana makelele si mchezo
Done... Mapema sana nitakukumbusha tumfurahishe huyu binti
Wacha kadeke kidogo kwa sasa, akienda kwa mumewe akapambane na hali yakeTusimdekeze sana. Atakuwa mzigo kwa mumewe.
Mno
Hapa Nasubiri tu January ifike nikusaidie kushika bango Yule Kurasa na Lenie watoe hela,Mama Wige auze bidhaa.
I love youIringa kwa wanyalu kazi kaziWapi hapa brohzz?