Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Tall dark handsome na mazaga zaga kama hayoMwanaume mwema yukoje Kwani ???? Hebu nisaidieni mieee!!
Tall dark handsome na mazaga zaga kama hayoMwanaume mwema yukoje Kwani ???? Hebu nisaidieni mieee!!
Ooh sawa mpenzi. NasubiriDea bado natafuta ile picha, maan kwa app enyewe inazingua, ikiiona leo kuuona tena mwakan, kuna ingne fulan hiv ya katuni ile ndo had leo natafuta sioni.
Mwenye hofu ya MunguMwanamke mwema yukoje Kwani ???? Hebu nisaidieni mieee!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tall dark handsome na mazaga zaga kama hayo
Ucjar dea.Ooh sawa mpenzi. Nasubiri
Wa afyaa,Poaaah mzima wee??
Sijaelewaaa!!Wa afyaa,
Nakusihi kwa paa na ayala uubariki mchana wetu[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwannTall dark handsome na mazaga zaga kama hayo
SELFIKAASijaelewaaa!!
Hahahaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo wafupi wao si wema?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Asante! Kujali kama nini/ kitu gani ????
Ahaaa kumbe!! Basi sauwaa!!Tall dark handsome na mazaga zaga kama hayo
wafupi sijui tulikosea wapi dah, mpk kero huu ufupiTall dark handsome na mazaga zaga kama hayo
Kwa namna yoyote ileAsante! Kujali kama nini ????
Mbona wapo wengi wanaozimika na wafupi 😂😂wafupi sijui tulikosea wapi dah, mpk kero huu ufupi
dah we acha tu, nsie wafupi kn kitu tulifanya si bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo wafupi wao si wema?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
si kweli,mie nishatoswa sn kwa ufupi,tena liveMbona wapo wengi wanaozimika na wafupi 😂😂
Tena wakiona wakaka wafupi hadi kupumua vizuri hawawezi, pumzi inabana ghafla
Ooooh hapo sawaaaah!!!SELFIKAA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah we acha tu, nsie wafupi kn kitu tulifanya si bure