Wapendwa naombeni mbwinu ya kumtapikia mtu nyongo humu jf pasipo kumkwaza
...maana ni mtu ninaemuheshimu ila amenikwaza kufikia maximum..friji langu limegoma kabisa kugandisha nimejitahidi kukausha na upole wangu lakini wapiiii...embu nipeni vi-tips uvumilivu umefika mwisho.... Ahsanteni
Kama nyote ni watu wazima na wenye busara, nendeni mkayamalize huko huko mlikokwaziana. Kama ni PM iwe ni PM. Kama ni mubashara basi iwe mubashara. JF hapa uwanjani ni kunufaisha wambea tu na wapenda drama....na hakuna faida yo yote mtapata mbali na kujidharaulisha tu!
Wapendwa naombeni mbwinu ya kumtapikia mtu nyongo humu jf pasipo kumkwaza 😂😂...maana ni mtu ninaemuheshimu ila amenikwaza kufikia maximum..friji langu limegoma kabisa kugandisha nimejitahidi kukausha na upole wangu lakini wapiiii...embu nipeni vi-tips uvumilivu umefika mwisho.... Ahsanteni
Introverts don't lack social skills, they're just not interested. They can talk. But not with everyone. They need the right mood, the right place, the right person. They need to feel your vibe and trust you. Then, they talk.
Kama nyote ni watu wazima na wenye busara, nendeni mkayamalize huko huko mlikokwaziana. Kama ni PM iwe ni PM. Kama ni mubashara basi iwe mubashara. JF hapa uwanjani ni kunufaisha wambea tu na wapenda drama....na hakuna faida yo yote mtapata mbali na kujidharaulisha tu!
Introverts don't lack social skills, they're just not interested. They can talk. But not with everyone. They need the right mood, the right place, the right person. They need to feel your vibe and trust you. Then, they talk.
Weee Hapana mie juu mwembamba kidogo! Dadaaa kajaa sana angalia hata mikono tumbo lake limejaa kote!!
. Happiest birthday to her... Aishi miaka Elfukumiiiiiii