Hapo nimesuka bunda sita rasta ndefu. Na kichwa kikubwa🤣🤣 na nina nywele nyingi bei ya kusuka 30,000/=Nimeona lipssss kwanza lol🥰🥰🥰🥰!!
Asante kipenzi mie nina kakichwa kadogo zitakaa vizuri Kweli??
Umenugaaaa sana mamaaaaa 😘 uzuri!
Minimum Ni sh ngapi kwanza ??🤔🤔
Haha!! umependeza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nacheka hadi nahisi kujikojolea coca mbavu zanguuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!Sasa wee n binti? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka had machozi, utakosa u headmistress kisa misuko ya binti, suka ki mama wee.
Kojoa tu hamna shida/tatizo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nacheka hadi nahisi kujikojolea coca mbavu zanguuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Asante dear! Sema mi napendagaa mbutu yawe makubwaaHapo nimesuka bunda sita rasta ndefu. Na kichwa kikubwa🤣🤣 na nina nywele nyingi bei ya kusuka 30,000/=
Wewe tu zipo kila sizeAsante dear! Sema mi napendagaa mbutu yawe makubwaa
Wabheja sana!Wewe tu zipo kila size
Kuna za Uzi na Rasta.Asante Wanasukia rasta!???
Mkuu rasta na kusuka hii imegharimu bei gani
Kula bata babu kesho itajisumbukia yenyewe [emoji14]Nataka niwaachie mahali pa kuishi watoto, wasije nitukana kuwa hela zote nimekula Bata [emoji2957]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwendraaa huko, enda na umri bibi wee.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nacheka hadi nahisi kujikojolea coca mbavu zanguuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Hizi
Huo wa1 nimeuelewa
Embu tuma tuone huo ukoka shem wangu kwa NtiluseswaAntonnia
Shougaaa angu kwenye hela ya kusuka hapo itoe 5k na mie nikaweke sawa ukoka wangu wa kichwanii huu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂PoleHuo wa1 nimeuelewa
Utanifanya nijute kunyoa nywele sasa
Jaman selfika nzima sijaona mzur kama ww [emoji7][emoji7]Knotless mamy haimkatai mtu ila suka ndefu Ndio utapendeza na rangi yako ya mtume[emoji6][emoji6]
View attachment 2436464
Mhh wotee visuuJaman selfika nzima sijaona mzur kama ww [emoji7][emoji7]
Siyo wote uzur wako wa kipekee sanaMhh wotee visuu