Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

yani waja sio poa
wakikuona tu hawaishiwi maneno
mmhh umezaa kwani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ukisema bado , wanabaki mmh .
Hahaha kama ndo unatembea. Watakutazama mwanzo wa uchochoro mpk mwsho wa uchochoro.
 
Ulipanga kumsapraizi unajikuta unajisapraiz mwenyewe nyieeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie nyieeee[emoji23][emoji23][emoji23]. Lkn ni Bora umuache kimya. Kuliko kumwambia sikutaki. Kumbe uliachwa zamaniiiii. Unashangaa unasema sikutaki. Halafu mwenzio anakujibu "ok".

Hakutafutiiiiiii kwa bembelezo
 
Weee inauma sana
Ni mwendo wa kimya kimya tu
 
Back
Top Bottom