Darcyy
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 2,432
- 9,756
Mi Kuna mtu namfahamu, ana kigimbi. Alikuwa anahofu kuvaa short. Lakini ndo nguo anazozipenda kweli kweli. Akaacha kbs kuvaa short. Lkn akapata mtu akampa somo zuri sn la kujipenda na kujiamini. Sasa hivi ni mvaaji mzuri wa short , Tena kwa kujiamini. Hatazami nani anamuangalia. Na anaenjoy mno.Na kweli, raha jipe mwenyewe







