Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
ni kuachana naye huyoKabisa dear furaha ya nafsiii..sasa upo na mtu Unaona kabisaaa... hakufurahiii...! Yaniniii kufa kwa preshaa!!
unapoteza muda tu hapo , ukibaki naye
ni kuachana naye huyoKabisa dear furaha ya nafsiii..sasa upo na mtu Unaona kabisaaa... hakufurahiii...! Yaniniii kufa kwa preshaa!!
Kweli tena wakuwekana filter zinatusevu mnooooo!!Fundi yyt mzuri haijawahi tokea akajisifu
hahah nawakata jicho la hatariHahaha kama ndo unatembea. Watakutazama mwanzo wa uchochoro mpk mwsho wa uchochoro.
Kwanza unakua umempunguzia dhambi ya kukuacha bila kukwambia mpaka ukajiongeza mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣!!ni kuachana naye huyo
unapoteza muda tu hapo , ukibaki naye
Kupiga kimya tu.Weee inauma sana
Ni mwendo wa kimya kimya tu
Kwanza unakua umempunguzia dhambi ya kukuacha bila kukwambia mpaka ukajiongeza mwenyewe!!




kwanini umchoshe ssYani unajali kigimbi?. Anza kuvaa ndiyo utaona jins unapendeza. Kama unapenda kuvaa short, vaa tu. Usianze kumuwazia mtu dada.Na me nitaanza kuvaa short, sitajali vigimbi
Yeah bora ungatuke mapemaKwanza unakua umempunguzia dhambi ya kukuacha bila kukwambia mpaka ukajiongeza mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣!!
Ofcoz dear mungu ni mwema na hachelewi wala hawahi bali anakuja kwa wakati...😘!Amen
sema ukipata mtu unasahau kabisa maumivu yote .Mungu huponya mioyo yetu.
Mashallah nawe pia aunt
Na kweli, raha jipe mwenyeweYani unajali kigimbi?. Anza kuvaa ndiyo utaona jins unapendeza. Kama unapenda kuvaa short, vaa tu. Usianze kumuwazia mtu dada.
Hauna picha una ka short hapo nisuuzepo macho dear?🤔😍!!Yani unajali kigimbi?. Anza kuvaa ndiyo utaona jins unapendeza. Kama unapenda kuvaa short, vaa tu. Usianze kumuwazia mtu dada.
Ehee mnakua mmeachana kimya kimya. Bila malumbano yoyote YaleYeah bora ungatuke mapema
akija kushtuka kumekucha![]()
Mie huwa sipendi kuvaa short. Japo nna mguu mzuri tu.Hauna picha una ka short hapo dear nisuuzepo macho!!
Tusikufatilie we nani banaaaaUtatolewa mfano kila kona
Watu wanapenda kufatiliana maisha sana
Wee kimya yee nae kimya ivoivo yani!!Kupiga kimya tu.
Wewe ni mzuri bhanaNa me nitaanza kuvaa short, sitajali vigimbi
kiutu uzima yaniEhee mnakua mmeachana kimya kimya. Bila malumbano yoyote Yale
Nakuelewa vizuri mamaa una guu moja matraaatraaaaa sanaaaa!! Ungelivalia short hilo awwwww😍😍😍😍!! Nougaaa sanaMie huwa sipendi kuvaa short. Japo nna mguu mzuri tu.