Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapo mtu atakwambia uchague kati yake yeye na kitambi chako aah kitambi forevaaa
Hahahah akisema hivyo. Kimbia kwa Kasi ya 4g. Hakupendi. Mwambie akatafute viportable mbona wengi sana?. Kwa maana ukitaka kuanza kumridhisha yeye, maisha yako yote utakuwa unafanya hiyo kazi tu.

Kuna nyakati mbalimbali unaweza ukanenepa kitambi Tena. Mfano, baada ya kujifungua, au umeridhika na maisha, kitambi kitarudi. Ss cjui utaanza tumia madawa Tena ili kukipunguza ili uzd kupendwa au vipi.

Na njia sahihi ya kupunguza kitambi ni kuangalia muenendo wa mlo wako na mazoez basi. Tena ufanye kwa kupenda na si sbb ya mtu ili akupende. Maisha yote mtu unaweza kuwa mtumwa aisee
 
Nimekumbuka

Tuna miadi..
 
Ndioo😍👏👏👏
 
Back
Top Bottom