Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mnaniuaaa mbavu hukuuuu🤣🤣🤣🤣🤣!!

Na uvumilivu piaaaaa...umenipenda vumilia mapungufu yangu nielekeze unishepu kuwa mwanamke unayemtakaaaa kuwa mwanamke wako mwema!!!!!!!
Hiyo statement ya mwisho😍😍

Na kuwa mke mwema havihusiani kabisa na gushepu wala flat tummy😂😂
 
Hizo dawa naonaga nyingi usanii
Njia nzuri ya kupunguza kitambi ni mazoezi na mpangilio wa msosi, hii niliwahi fanya enzi za ujana na iliwork vema.
Ila sasa nimegundua hayo yote ni ubatili mtupu
Yeah nyingi uongo aisee
labda niende gym nikipunguze
hahah eti ubatili mtupu .
 
Mnaniuaaa mbavu hukuuuu!!

Na uvumilivu piaaaaa...umenipenda vumilia mapungufu yangu nielekeze unishepu kuwa mwanamke unayemtakaaaa kuwa mwanamke wako mwema!!!!!!!
Wewe una mapungufu gani

Chuchu 12:00 am o'clock

Tako Tako

Guu guu

Rangi ya nyeupe

Sura inayosadifu..yaliyomo

Midomo ya kunyonywa

Eti wapi ulipo upungufu
 
Hiyo statement ya mwisho😍😍

Na kuwa mke mwema havihusiani kabisa na gushepu wala flat tummy😂😂
Kabisaaaaaaa ...hapo tunaongelea inner character ambazo ngumu kuziona kwa picha wala kwa selfii..... hadi uishi na mtu ndio utabaki kuduwaaaa naroho yako Hivi ni wew 😳😳😳 😳😳 Alooooooohh!!! Maisha ni zaidi ya shepu ni zaidi ya sura ni zaidi ya dimples ni zaidi ya sex.... so many things🤣🤣😛!

Labda kama ulitaka kuteleza tyyuuu😎Napo Hata kamaaa
 
Mnaniuaaa mbavu hukuuuu!!

Na uvumilivu piaaaaa...umenipenda vumilia mapungufu yangu nielekeze unishepu kuwa mwanamke unayemtakaaaa kuwa mwanamke wako mwema!!!!!!!
Kabisa uvumilivu muhimu. Sio umenikuta na kitambi changu, unaanza kutaka kukiondoa .
 
Kabisaaaaaaa ...hapo tunaongelea inner character ambazo ngumu kuziona kwa picha wala kwa selfii..... hadi uishi na mtu ndio utabaki kuduwaaaa naroho yako Hivi ni wew Alooooooohh!!! Maisha ni zaidi ya shepu ni zaidi ya sura ni zaidi ya dimples ni zaidi ya sex.... so many things!

Labda kama ulitaka kuteleza tyyuuuNapo Hata kamaaa
Dada Leo umenikosha
 
Lakini unapungua ili iweje?
Kwani kuwa bonge mtu unaumwa kichwa?
Hamna kupungua, tule hadi tuwe vipipa tushindwe kutembea wawe wanatubingilisha tu chini tunabingilika kwa raha zetuuu
kipipa Tena?. Tuwe wanene lkn tusizd. Tumaintain
 
Kabisaaaaaaa ...hapo tunaongelea inner character ambazo ngumu kuziona kwa picha wala kwa selfii..... hadi uishi na mtu ndio utabaki kuduwaaaa naroho yako Hivi ni wew 😳😳😳 😳😳 Alooooooohh!!! Maisha ni zaidi ya shepu ni zaidi ya sura ni zaidi ya dimples ni zaidi ya sex.... so many things🤣🤣😛!

Labda kama ulitaka kuteleza tyyuuu😎Napo Hata kamaaa
Zaidi ya dimples ndio 🤣🤣🤣
Inabidi ieleweke wazi hilo
 
Back
Top Bottom