Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Well said ,
mtu apende inner character yako na sio appearance.
unywe madawa ya tumbo upate diarrhoea ya nguvu 😆😆

mie sasa hivi najiachia , kupungua kutakuja kwenyewe kukitaka .
Mwishowe utumbo uharibike hasara kwa nani 😂

Kwenye kula hapo hee wengine kula ndio starehe yetu kubwa, watuvumilie tu hamna namna.
Kula tu enjoy
 
Mwishowe utumbo uharibike hasara kwa nani 😂

Kwenye kula hapo hee wengine kula ndio starehe yetu kubwa, watuvumilie tu hamna namna.
Kula tu enjoy
nilinunuaga dawa za tumbo
hazikuwa bei , sikuona matokeo japo
nikinywa wakati nimetoka kula ndo tumbo lauma.

baadae nilizitupa huko
Mimi pia napenda kula pia haswa vitamu vitamu.
 
Bora mtu akupende tu jinsi ulivyo na kitambi chako sio ukiwa naye unaanza kubana tumbo uonekane flat ya nini shida zote hizo mwee
Mbinguni tutapewa miili mipya kwanza
Dadangu

Wewe ni mrembo

Kitako Cha kisukuma sio mneso Wala mlegezo

Rangi asili ya nyeupe

Umbo la kibantu

Sura ya upole yenye akili mingi

Hilo Tambi unalitolea wapi
 
nilinunuaga dawa za tumbo
hazikuwa bei , sikuona matokeo japo
nikinywa wakati nimetoka kula ndo tumbo lauma.

baadae nilizitupa huko
Mimi pia napenda kula pia haswa vitamu vitamu.
Asubuhi tu nikiamka ndiyo huwa Sina tumbo. Ngoja nishibe ss, uone linavyochomoza
 
nilinunuaga dawa za tumbo
hazikuwa bei , sikuona matokeo japo
nikinywa wakati nimetoka kula ndo tumbo lauma.

baadae nilizitupa huko
Mimi pia napenda kula pia haswa vitamu vitamu.
Hizo dawa naonaga nyingi usanii
Njia nzuri ya kupunguza kitambi ni mazoezi na mpangilio wa msosi, hii niliwahi fanya enzi za ujana na iliwork vema.
Ila sasa nimegundua hayo yote ni ubatili mtupu
 
Bora mtu akupende tu jinsi ulivyo na kitambi chako sio ukiwa naye unaanza kubana tumbo uonekane flat ya nini shida zote hizo mwee 😂
Mbinguni tutapewa miili mipya kwanza
Mwishowe utumbo uharibike hasara kwa nani 😂

Kwenye kula hapo hee wengine kula ndio starehe yetu kubwa, watuvumilie tu hamna namna.
Kula tu enjoy
Mnaniuaaa mbavu hukuuuu🤣🤣🤣🤣🤣!!

Na uvumilivu piaaaaa...umenipenda vumilia mapungufu yangu nielekeze unishepu kuwa mwanamke unayemtakaaaa kuwa mwanamke wako mwema!!!!!!!
 
Back
Top Bottom