National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,203
Tupo lushoto siku hizi 😁😁Sawa
Mitaa hiyo hiyo ya rufiji![]()
Tupo lushoto siku hizi 😁😁Sawa
Mitaa hiyo hiyo ya rufiji![]()
Angalia usifie kifuani mwao msukumaMpo kama kumi hivi
Najua unaelewa balaa zangu chuga
Hunitakii mema weweWeee ni kupita nakedd tyuuu dear haya tuwekee naked basiiu!
Ndo maana twapenda wazee , hawawezi kukuchezea rough hata siku moja .Kweli Kabisa...yanini kung'angania mtu unaona kabisa anakudisss mchana kweupeeee??!! Hapana
Kabisa dear!Yeah dear sio poa kabisa
unajichora na kujidhalisha utu wako .
maisha yaendelee tu .
Hhhoooouuuuuyyyyyeeeeeeee💃😘😘😘😘!Ndo maana twapenda wazee , hawawezi kukuchezea rough hata siku moja .
wazee oyee 😍😍
Tuwekee hata Tbt jaamaneeee!!Hunitakii mema wewe
😂😂😂😂😂 mkwe wanguYaani wewe 🤣🤣🤣
Subaru iko nje hapo, inakusubiri ready for the weekend 🤣🤣😂😂😂😂😂 mkwe wangu
Mwenye subaru yakeeeeee
Me too 🤣🤣lol 😂
pendeza weyeeMchana mwema wapendwa!!
Enjoy your weekend ✌️😘😘
GeukaMchana mwema wapendwa!!
Enjoy your weekend ✌️😘😘
Tusijichoshe yani 🤣 PMe too 🤣🤣
Utachina hapoSubaru iko nje hapo, inakusubiri ready for the weekend 🤣🤣
Nikija unipege lift
Bora mtu akupende tu jinsi ulivyo na kitambi chako sio ukiwa naye unaanza kubana tumbo uonekane flat ya nini shida zote hizo mwee 😂Tusijichoshe yani 🤣 P
wanawake warembo kweli wanaachwa ...
Ngoja niangalieTuwekee hata Tbt jaamaneeee!!
Binti mzuri weweMchana mwema wapendwa!!
Enjoy your weekend![]()
Well said ,Bora mtu akupende tu jinsi ulivyo na kitambi chako sio ukiwa naye unaanza kubana tumbo uonekane flat ya nini shida zote hizo mwee 😂
Mbinguni tutapewa miili mipya kwanza