Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Sijadanganyakwahiyo unadanganya kwakuwa unaenda church kuomba?
Mungu anakuona
Niliweka
Sasa sijui naweka picha Gani hapa
Sina picha mpya.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Sijadanganyakwahiyo unadanganya kwakuwa unaenda church kuomba?
Mungu anakuona
AmenAsante Sana. Barikiwa
Dogo hujambo?Snap it and show it.View attachment 2432669
Tupo ambao hatudanganyi, ila pia nasikia mnapenda kudanganywaNyie bila kusema uongo nahisi mtapungukiwa damu
Mtudanganye kidogo tatizo nyie mnazidisha hapo ndio mnapoharibu chalii anguTupo ambao hatudanganyi, ila pia nasikia mnapenda kudanganywa
Yyt uliyonayo unaweka mtakatifu Anne.Sijadanganya
Niliweka
Sasa sijui naweka picha Gani hapa
Sina picha mpya.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
haya dear 🥰Lol sijajua dear ngoja niulize kwanza!!
NitaiwekaYyt uliyonayo unaweka mtakatifu Anne.
ni maombezi au ?
Aaah! Kidogo hamtoi mzigo.. Maana mzigo wenyewe ili kutoa kama vita vileMtudanganye kidogo tatizo nyie mnazidisha hapo ndio mnapoharibu chalii angu
Kwanza mwanaume bila kuwa muongo kidogo penz linakuwa linapoa 😂😂Tupo ambao hatudanganyi, ila pia nasikia mnapenda kudanganywa
Seminar inayoambatana na maombi ya mfungo.ni maombezi au ?
sie huku ni Kama jumuiya


Nani dogo?
Ohooo kumbe mnapenda kupigwa fix.. Ebu tukutane pm tuyajengeKwanza mwanaume bila kuwa muongo kidogo penz linakuwa linapoa 😂😂