Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,304
Nipe madesaaaaaa!Yyt uliyonayo unaweka mtakatifu Anne.

Nipe madesaaaaaa!Yyt uliyonayo unaweka mtakatifu Anne.

Aaah! Kidogo hamtoi mzigo.. Maana mzigo wenyewe ili kutoa kama vita vile




Sio mm aunt mm napenda mambo yalinyooka 😀Ohooo kumbe mnapenda kupigwa fix.. Ebu tukutane pm tuyajenge
Okay ibada njemaSeminar inayoambatana na maombi ya mfungo.
Ni kila siku.
Ni mdogo wangu huyoMama junia ukitoka kanisani Kuna kijana smart hapa uje uone pichazake 😂
Saint Anne
WachaaNiseme uwongo ili iweje mpenzi![]()
Mzigo wenyewe mkipewa mnasepa kesho yakeAaah! Kidogo hamtoi mzigo.. Maana mzigo wenyewe ili kutoa kama vita vile
Ujengewe mnara paleKwanza mwanaume bila kuwa muongo kidogo penz linakuwa linapoa![]()
Kakake nakusalimiaWachaa
Usiniambie unapumzika hapo
Bhas utakuwa unafaidi kinoma
Waletreeeeeeee Waletreeeeeeee 💃💃🤸!!Nani kakuambia wazee wameyaona mengi.
Kati kila siku mnakuja na vumbuzi mpya.
Usije ukawa kwenye hii dala dala ambaye mi nikonda. useme mapema nisije nikachukua nauli mpaka kwakoOkay ibada njema
mie nimechelewa na bado foleni ya Mwenge .
coca mwehuuu! Akili zake anazijua mwenyewe!!Utamuweza huyoooo kwa maneno na vituko vyake!![]()
Kama ya yule mpopo na mzee wa kiarabu wa Dubai! Si uliona ubunifu wao.Waletreeeeeeee Waletreeeeeeee 💃💃🤸!!
nirudishie 850 yangu basi 🥺Usije ukawa kwenye hii dala dala ambaye mi nikonda. useme mapema nisije nikachukua nauli mpaka kwako
Usnambie unamuwaza sana huyu shoga angu
Wacha nimle kwa macho tu huyoUsnambie unamuwaza sana huyu shoga angu
Sasa unakwama wapi kaka?
Em fanya namna ushoga uwe uwifi kabisaaa
Me niko bomba kaka
