Selfika na JF: Snap it. Show it

Happy New Month wapendwa wa Mungu

From January to December ni Mungu tu [emoji119]
We have been a lot [emoji119]
A lot wanted to kill us in anyway.. ila ni yeye tu ametupigania [emoji847]

#Ni Wewe by Mathias Walichupa [emoji444][emoji445]
Yeaaaaah birthday month., mkujee na zawadiii dyadyaaa.
 
Kheeeh kumbe babuuu unapendwaa hivyo,, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nawee uoleweee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwezi huu naolewaaa shangaziiii. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Babayako atafurahi sana i, unakuja kuolewa, ndugu zako, wazazi wako mtaani hapo watafurahi kabisa mtoto wao anaolewa, kaka zako, dada zako, wadogo zako watafurahi unaolewa... Hivi hio ndoa utafungia wapi kwanza? na nani atafungisha hio ndoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…