Amen amen Amen best akeee!!
Ndoa ni Jambo jemaaa na la baraka heshima pia!
Nawatakia heri baraka na amani na mafanikio, heri pia ya mwanzo wa mwezi, nawaombea ukawe mwezi mzuri kwenu na mwisho mzuri wa mwaka kwenu pia , muwe na wakati mwema na maandalizi mema best akeee tupo pamoja sana katika maombi na maandalizi And God bless you guys!! βοΈβοΈ!!!!
All the bests ππππππππ
Bwana Harusi mtarajiwa .