Selfika na JF: Snap it. Show it

Weee nishakua kimodooooo usintanieeee shooosssss Nani hataki kubebwabebwa kwani weeeee🤣🤣!!
Hio Staili mwanamke unajipimia mwenyeweeeee hahahaaa!!!
 
Masharobaro wanakuchanganya kiasi hiki!

Vyakale dhahabu shauri yako.
Alikua hanitoshelezi kwenye mizagamuo, sasa nibaki kwake ili iweje? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wazeee mnaitwaaaaa huku, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo hapa nawasubiria kwahamuuu💃💃💃🤸🤸🤸🤣🙇🙇🙇🙇🙇🙇
 
Weee nishakua kimodooooo usintanieeee shooosssss Nani hataki kubebwabebwa kwani weeeee[emoji1787][emoji1787]!!
Hio Staili mwanamke unajipimia mwenyeweeeee hahahaaa!!!
Shougaaaaa usubiri siku ya kufaaa ndo utabwebwaaa ukiwa ndani ya box la mbao,. Kwa sasa uwaaacheee tyuuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
namba 4 na 9 nimewaelewa Ile mbaya .
Anza nao hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…