Selfika na JF: Snap it. Show it

ushazeeka shougaaaaa hebu kwan khaaaaaah
🤣🤣🤣🤣🤣 Hao wa swagger zako hapana kubwaaaa kwakweli!! !! Yani kingine nikikiangalia hata kiganjani hakijai yeeeeuuuwwiiiii 😏😏😏🙌🙌🙌
 
Hao wa swagger zako hapana kubwaaaa kwakweli!! !! Yani kingine nikikiangalia hata kiganjani hakijai yeeeeuuuwwiiiii
Hutak kulea vibenteniiiii wee?
bas wenzio wa mama wanawataka wa hivyo hapo.
 
Khaaaaah utakuja upigwe tukio akili ikukae.
Ukiwekeza akili kweny kutafuta pesa na kufanya malengo yako kwanza hautatumia muda wako kutembea na hivi vitoto vya 98,97,96.
Mtu anaekuzid umri sio tu heshima atakua nayo bali anaweza kukusaidia vitu vingi sana na ukafuraia maishani.
 
Ukiwekeza akili kweny kutafuta pesa na kufanya malengo yako kwanza hautatumia muda wako kutembea na hivi vitoto vya 98,97,96.
Mtu anaekuzid umri sio tu heshima atakua nayo bali anaweza kukusaidia vitu vingi sana na ukafuraia maishani.
Wee dear, usiseme hivyo labda kwa mtazamo wako. Ila sio kivileee.

Mapenzi hayana 4mula.
 
ushazeeka shougaaaaa hebu kwan khaaaaaah
🤣🤣🤣🤣🤣 Hao wa swagger zako hapana kubwaaaa kwakweli!! !! Yani kingine nikikiangalia hata kiganjani hakijai yeeeeuuuwwiiiii
Tena no 1 huyooo rohooo kwatuuuuuu.
Sasa kama hako niseme nimekakalia kanipakate labda mxxxxxxxiieewww!!😏😏😏😏 ntakauaa tyu mie 🤣🤣🤭😎
 
Mi mwanaume anaevaa vinguo vya swagger za kuchanikachanika mara vi tight ka vyakike😏😏😏!
Wanaume ambao wana umri fulani let say 40''s najua ndio taste yako, katika umri huo wengi wapo financially stable, wanakua wapo well established kwenye career zao, lakini mwanaume akiwa na pesa akiwa kwenye 30's have the best of both worlds hapo wasichana wa 20's watavutiwa hata wanawake wa 40's.

Lakini upo sahihi huo umri watu wengi wana enjoy maisha, unakuwa na experience na vitu vingi n.k... Sijajua upande wa mizagamuo..... kwa maana mie nina 55 sa hivi.
 
Huyu wa Tano sijui ni chupi hiyo kavaa
Sijui taiti Aiseee!

Atakayevaa shati la kitenge na suruali ya satini,Anza naye huyohuyo.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
kwanza wee nan atakupakataaaa hata hao watu wazima enyeweeee?? Unataka mapaja yake yachuche maji km sio damuuuu?

Wembamba wa reli treni inapitaaa upoooo?
 
Sio wa kupigwa stop mie na utu uzima Wangu wote huuu!! Lol!!! Sijui hata shetani gani kaingilia kati Walai mi mwenyewe selewiiiii shoss angu!!
 
Kwa watu wazima wanafata pesa, ila mnyanduano wanafata kwa watoto lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…