Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante nkamu
Nimekumiss pia
Shimba ya Buyenze namimi sijamuona humu siku kadhaa ila naamini yumo
Mkuu Shimba ya Buyenze popote ulipo mkuu wahi huku nkamu wangu amekumiss anakutafuta
Nkamu bana.

Wengine hatuna umuhimu wo wote hata tukipotea ni sawa tu. Wewe ulipotea kwa muda hapa nakwambia ilikuwa kizaazaa maana ulitafutwa kila kona mpaka na vi innuendo vya chini chini vikaibuka eti ulikuwa mahali umejifungia na Yolly Yolly wako ukikamua mazezele!

Mimi nipo nkamu napitaga tu kimya kimya hapa kugombania vocha zako ukirusha.

Endelea kubarikiwa braza. You are a blessing to many
 

Screenshot_20221127-103932_Instagram.jpg
 
Mazoezi anayofanya dogo hapo wewe kutoboa ni vigumu kaka yangu mwenye mwili wake wa mapenzi😆😆😆
😅😅😅😅 Kuna siku tulikuwa field milimani, na wanataka tukague kila point.. ohooo miguuu ikaanza tetema kama mayele, nikawaambi mwisho wangu hapa sipandi.. na hamnipeleki popote mbona waliishia nilipo ishia, maana mwenye majibu nilikuwa mie ya sehemu wanazo kagua
 
Back
Top Bottom