National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,197
Nilikuwepo 🚶♂️🚶♂️🚶♂️
Weee kumbe ni jiniaz ivo!!!🤭🤭 Hongera sana mjomba!Nilipata B ya kemia, B physics B hesabu 🤣🤣🤣🤣🤣 mambo ya jf haya.. Huku na type na ki iTel changu
Ujambo wewe..Salamu kwa wote humu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Akili zako sasa!!
Asantee#voda#
Jf tu hii shangazi 😅😅😅 powered by iTelWeee kumbe ni jiniaz ivo!!!🤭🤭 Hongera sana mjomba!
Ametulia mwenyeweNiko poa sana kipenzi !! Bi. mmoja 😁😁😁😁🤣🤣!! Kwanza macho manne😎 Yukwapi ???
Wige ndio anakufaa sasa!!Asiwe tu Wige
Aisee pisi kali ya wapi hii
Hakuna mchumba paleWige ndio anakufaa sasa!!
Uko na akili mbaya sana😂😂😂Nitafutie mchumba basi
Chondechonde usisahau kunifundisha kusafisha kwapa
Bwana weeee.. Nchi jirani.. 😅😅Aisee pisi kali ya wapi hii
Hatari sasa sie jobless tunafikaje hukoBwana weeee.. Nchi jirani.. 😅😅
Sitaki kuja kutia aibu mweeUko na akili mbaya sana😂😂😂