Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Cameroon
Uruguay
Serbia
Portugal
Uruguay
Serbia
Portugal
Ameeeeeeeeeeeen.Amen!! Amen!! Ishaandikwa hio ni lazima tukule pilau!! We believe!!
Cameroon yes.Cameroon
Uruguay
Serbia
Portugal
Uzuri Dada yetu Chakorii lazima atualikeAmen!! Amen!! Ishaandikwa hio ni lazima tukule pilau!! We believe!!

Cameroon yes.
Hiyo cameroon ni saa ngapi wanacheza?
Muone😅😅Khaaa
Mnaongelea ndoa wakati hata mchumba Sina![]()
Heeee wewe …Itabidi siku moja nikupigie simu unieleze Kwa mapana hii habari..inawezekana sijui kitu aise😅😅Ni yule yule
Hatujabadilisha
Nitafutie mchumba basiMuone![]()
Lol ya saa 7 mb lazima zinitoke walai leo nimetingwa nasimamia mitihani afu nimepangwa form 6 uwii!! kutoka saa 9 !!Cameroon
Uruguay
Serbia
Portugal
Nadhani anaongoza kwa ubishi humu!Huyu Anne huyu mbishi sana..
Ndoa ni jambo jema sana tumuombe mdogo wetu huyu
Na ikawe kama unenavyo 🥰🥰
Wew sibishani nawe maana uking’ang’ania kitu hukiachiiUzuri Dada yetu Chakorii lazima atualike![]()
Ni ileileHeeee wewe …Itabidi siku moja nikupigie simu unieleze Kwa mapana hii habari..inawezekana sijui kitu aise![]()

Nitaishabikia Ghana.
Mtoto wa mjini wewe Kazi za shamba huziwezi! Kqa Akili zako Utakuja kubaka vibarua wakike buree!!Nipe kazi sasa shambani kwako huko 😅😅😅 nakulima bure kabisa
Khaaa hadi wewe boss ledi unanikandamizaNadhani anaongoza kwa ubishi humu!

Ni mbishi kama samakiNadhani anaongoza kwa ubishi humu!
Bora wewe hata unaandaa MbLol ya saa 7 mb lazima zinitoke walai leo nimetingwa nasimamia mitihani afu nimepangwa form 6 uwii!! kutoka saa 9 !!
😅😅😅 nipo nyuma ya keybod na ki iTel changu hapa, nimekifunga na mipira, alafu unaniuta wa mjinj.. Hizi social net sinaficha mengi sana na sie tuonekane wa mujini.. Nipe dili nije kulima kwakoMtoto wa mjini wewe Kazi za shamba huziwezi! Utakuja kubaka vibarua wengine buree!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣acha bangi dogo🤣🤣🤣🤣Ni ileile
Hakuna jipya
Tulishakuchagulia husband Matirio
Ila Kwa jeuri unamwita majina unayoyajua weweView attachment 2425699