Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bora wewe hata unaandaa Mb
Sisi wengine tunawasikilizia Tanesco

Hongera Madam,unajenga taifa.
View attachment 2425703
Tanesco sijui kuna shida gani sikuhizi!!🤣🤣🤣🤣🤣! Hapa nimechaji Simu ipo full natumia kwa step!!
Ningepaangwa form 1 huko mitihani wa 2 hours vilaza dakika 45 washamaliza..wale majiniaz lisaa 1 tu! sasa Sasa hawa 5 sijui six 3 hour mtu ni kuongeza karatasi tu hadi muda utimie ndio wananyanyuka!
 
😅😅😅 nipo nyuma ya keybod na ki iTel changu hapa, nimekifunga na mipira, alafu unaniuta wa mjinj.. Hizi social net sinaficha mengi sana na sie tuonekane wa mujini.. Nipe dili nije kulima kwako
Weee tukejelii tu wabushi navisimu vyetu vya kufunga na mpira hata hatujareeee! Mujini mfunge mpira mchekwe thubutuuuu!!!
 
Tanesco sijui kuna shida gani sikuhizi!!🤣🤣🤣🤣🤣! Hapa nimechaji Simu ipo full natumia kwa step!!
Ningepaangwa form 1 huko mitihani wa 2 hours vilaza dakika 45 washamaliza..wale majiniaz lisaa 1 tu! sasa Sasa hawa 5 sijui six 3 hour mtu ni kuongeza karatasi tu hadi muda utimie ndio wananyanyuka!
Shangazi nipe mchongo wa kukusanyia karatasi baada ya kusahihisha
 
Back
Top Bottom