Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,402
- 54,846
Kwa kweli ... Tuseme kikubwa uzima🤒🤒🤒 uswazi kuna mpya hukoo🥱🥱🥱I'm okay vipi wewe
maisha yanasemaje
Kwa kweli ... Tuseme kikubwa uzima🤒🤒🤒 uswazi kuna mpya hukoo🥱🥱🥱I'm okay vipi wewe
maisha yanasemaje
Wala sio kukomeshana ndio uhalisia wa mambo. Wote tunatesekaKwahiyo mnatukomesha sio
Huyo Wige msimtaje kabisa yaani
Tuone picha yakoAga nyie mnaopenda tall dark and handsome mnatufanya sie andunje andunje tuone hatuwezi pata pisi kali
Hao wazungu wanapatikana wapi jamani maana hata kingereza Sijui 🥹Usifange hivyo bwana nyie flats reen mna watu wenu special kabisa....wee nenda sehemu wanazokaa wazungu utaopoa kibabu chenge hela zake🤣🤣🤣🤣
Hakuna jipya hukuKwa kweli ... Tuseme kikubwa uzima🤒🤒🤒 uswazi kuna mpya hukoo🥱🥱🥱
Umeme upo ...🤒🤒🤒 Maji je....??Hakuna jipya huku
Ili mnicheke🤣🤣🤣🤣Tuone picha yako
Maji yapoUmeme upo ...🤒🤒🤒 Maji je....??
Please aje azijibu hapa.Huyo Wige msimtaje kabisa yaani
Hebu msije nichania Mkeka wangu Mimi Kwa Baba Mtumishi 🤣🤣🤣🤣🤣.
Atatokea baadaye,Salamu zako zimefika.
HapanaIli mnicheke🤣🤣🤣🤣
Ni huzuni sanaWala sio kukomeshana ndio uhalisia wa mambo. Wote tunateseka
Oooh jiandae uje ushuani huku.... 🥱🥱🥱🤓🤓🤓Maji yapo
umeme muda wote unakatika
Kuna kasumba iliibuka humu wakajidai wanampigania WigePlease aje azijibu hapa.
Sio Wige hatajwi yeyote biharusi wetu
😅😅😅😅 Leo nimehamukia kahawa naona GPS haisomiMood ya leo ni ipi..🤒🤒🤒🤒
Huko haukatiki eehOooh jiandae uje ushuani huku.... 🥱🥱🥱🤓🤓🤓
Ni huzuni 🤣🤣😃Hao wazungu wanapatikana wapi jamani maana hata kingereza Sijui 🥹
Mbona hukuniita aise.wa lit aka kuniharibia juhudi zangu..hapana kwakweliKuna kasumba iliibuka humu wakajidai wanampigania Wige
Niliwabadilishia upepo hawakuamini
Haya kimbaumbau 😅😅😅 kama nakuona vileNyie mnaopenda mijitu mikubwa mikubwa mizuri mitako,miguu ya bia…mnatufanya sisi vimbau mbau dunia tuione chungu🥹🥹
Hao akina Mahondaw woteMbona hukuniita aise.wa lit aka kuniharibia juhudi zangu..hapana kwakweli