Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Nyie mnaopenda mijitu mikubwa mikubwa mizuri mitako,miguu ya bia…mnatufanya sisi vimbau mbau dunia tuione chungu🥹🥹Bwana weeee.. Nchi jirani.. 😅😅
Nyie mnaopenda mijitu mikubwa mikubwa mizuri mitako,miguu ya bia…mnatufanya sisi vimbau mbau dunia tuione chungu🥹🥹Bwana weeee.. Nchi jirani.. 😅😅
Kwani Wige hafai jamani 😂🤣Sitaki kuja kutia aibu mwee
sie wazuri pia bhana 😂😂Nyie mnaopenda mijitu mikubwa mikubwa mizuri mitako,miguu ya bia…mnatufanya sisi vimbau mbau dunia tuione chungu🥹🥹
Changamoto ni kwamba hata tutako twenyewe hatuna🥲🥲🥲🥲veri sad yanisie wazuri pia bhana 😂😂
hata kama hatuna tako.
Wacha kulalamika bby, wapo watakaokipenda hivyo hivyo na flat nyaash na miguu ya spoku🤣🤣🤣🤣🤣Nyie mnaopenda mijitu mikubwa mikubwa mizuri mitako,miguu ya bia…mnatufanya sisi vimbau mbau dunia tuione chungu🥹🥹
Mood ya leo ni ipi..🤒🤒🤒🤒Bwana weeee.. Nchi jirani.. 😅😅
hakuna namnaChangamoto ni kwamba hata tutako twenyewe hatuna🥲🥲🥲🥲veri sad yani
hello👋👋👋#gomz...🤣📢
👋👋 Bi mmoja....madam
Hellow mambo.. 😍😍 how are you...,🤓🤓hello
Hakuna shida nitasafiri kwenda uturuki kufanya marekebisho.Wacha kulalamika bby, wapo watakaokipenda hivyo hivyo na flat nyaash na miguu ya spoku🤣🤣🤣🤣🤣
Aga nyie mnaopenda tall dark and handsome mnatufanya sie andunje andunje tuone hatuwezi pata pisi kaliNyie mnaopenda mijitu mikubwa mikubwa mizuri mitako,miguu ya bia…mnatufanya sisi vimbau mbau dunia tuione chungu🥹🥹
I'm okay vipi weweHellow mambo.. 😍😍 how are you...,🤓🤓
Angalau unanitia moyohakuna namna
tumshukuru tu Mungu tu
Kwahiyo mnatukomesha sioAga nyie mnaopenda tall dark and handsome mnatufanya sie andunje andunje tuone hatuwezi pata pisi kali
maisha ni kupeana moyo dearAngalau unanitia moyo
Usifange hivyo bwana nyie flats reen mna watu wenu special kabisa....wee nenda sehemu wanazokaa wazungu utaopoa kibabu chenge hela zake🤣🤣🤣🤣Hakuna shida nitasafiri kwenda uturuki kufanya marekebisho.
Flatscreen tujuane tupeane moyo
Asante my lovemaisha ni kupeana moyo dear
sie wote wamoja ❤️