Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Yes dearKwa sisi nywele kavu ni nzuri hii??
ukitumia ina mosturize nywele na kufanya ziwe soft .
si unaona bamia ilivyo na ute ule mwingi.
Yes dearKwa sisi nywele kavu ni nzuri hii??
Wige akija atauliza bamia ina niniYes dear
ukitumia ina mosturize nywele na kufanya ziwe soft .
si unaona bamia ilivyo na ute ule mwingi.
Hahhaa😂😂😂Wige akija atauliza bamia ina nini
Mbayaaa 🥲🥲Hahhaa😂😂😂
habari ya leo ?
Pole dearMbayaaa 🥲🥲
Nimenyeshewa na mvua
Kamwamvuli kadogo mvua imenipata miguuni
Asante..Pole dear
ni Ile mwamvuli ya kuweka kwenye pochi
Penzi jipya limemnogea hqta anasahau kulog in🤣🤣🤣 yuko wapi sjui
Inatusave kidogoAsante..
Ndo vyenyewe vya kisistaa duu
Mbenjuo wa kawaida tu!Em tuone
Hatukuwepo
Penzi jipya halijawahi kumuacha mtu salamaPenzi jipya limemnogea hqta anasahau kulog in
Aiseee hakika ww ni mrembo wa ndoto ya kila mwanaume kuwa na mrembo kama ww kweli Poker anafaidiSina picha ya maana hata .. ona hii nilipiga
Nijazeee mamamaaa nijazeee wee nijazeee tyuuuu!😂😂😂Hips la Antonia og lile Mimi hata Sina bhna nanenepaga mashavu