Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Mimi jana nilisuka za mkono virefuke refuke na kurudi kwenye hali yake kidogo! Zilikatika vibaya sana!Asante kwa kunitia moyo
nimeziosha leo na ku blow dry kidogo kiuvivu .
Mimi jana nilisuka za mkono virefuke refuke na kurudi kwenye hali yake kidogo! Zilikatika vibaya sana!Asante kwa kunitia moyo
nimeziosha leo na ku blow dry kidogo kiuvivu .
Vipi Leo uholanzi na Senegal utabiri wako?Mambo ya jana hayo Qatar
Natabiri Draw 1-1Vipi Leo uholanzi na Senegal utabiri wako?
Za mkono ndo zenyeweMimi jana nilisuka za mkono virefuke refuke na kurudi kwenye hali yake kidogo! Zilikatika vibaya sana!
Tatizo kichwa kina mambo mengi.....🤣🤣🤣🤣🤒🤕Nani wa kusahauu??? Sio kilaza mie!!
Nibless wiki Yangu ianze vizuri jamanii!!
HelloMtoto wa gomz...👋👋👋👋👋😄😄😄
Salama kabisa.Hello
habari yako ?
nzuri vipi weweSalama kabisa.
Uzima upo..?
Hakika ata mimi naona sare maana Senegal ana watu sio wa kubezaNatabiri Draw 1-1
🙏🙏🙏Its good na mishemishe ndo zinaanza hivooo.... Aani 🥱🥱🥱nzuri vipi wewe
how's Monday ?
Ngoja tuone! Leo Ni saa kumi Jioni eeh??Hakika ata mimi naona sare maana Senegal ana watu sio wa kubeza
Ooh vizuri .🙏🙏🙏Its good na mishemishe ndo zinaanza hivooo.... Aani 🥱🥱🥱
Wee hio ya bamia ndio ikije mamy??Umesuka vizuri
pendeza sana boss lady
ukifumua fanyia steaming ya bamia .
Haya Do the needful sasa!! Nipo hapaa nasubiria 🙇🙇Tatizo kichwa kina mambo mengi.....🤣🤣🤣🤣🤒🤕
Asante kipenziUmesuka vizuri
pendeza sana boss lady
ukifumua fanyia steaming ya bamia .
Sawa for you itabidi niwe fastly...🥱😄😄😄Haya Do the needful sasa!! Nipo hapaa nasubiria 🙇🙇