Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,986
- 48,480
Wafanya tathmin kwenye ubora wenu 😂😂😂Hapo dude limefichwa kwenye nguo kubwa, ukiweka kimini sisi tutakuwa tumekaa pembeni tukifanya tathmini asee!

Hapo ndio limeanzaaa litazidi kuongezeka haliwezi rudi kirahisi... Shikilia hapohapo Usiachieee 👌!Usiseme Kwa nguvu ndo linaanza anza 😂😂lisije likaghair nikabaki na tungumi kma zamani

Ndio linaanza anza penzi ama gushepu???Usiseme Kwa nguvu ndo linaanza anza 😂😂lisije likaghair nikabaki na tungumi kma zamani
Gushepu dear penz na hta nikitaka lianze jipya kilawiki inawezekana tu ni suala la maamuzi😂😂😂😂Ndio linaanza anza penzi ama gushepu???
Wacha wee!! watu na nyota zenyuuuuu 👌👌👌! Enjoy mamaa Maisha Ndio hayahayaaaaaa!!!Gushepu dear penz na hta nikitaka lianze jipya kilawiki inawezekana tu ni suala la maamuzi😂😂😂😂
MahitajiWee hio ya bamia ndio ikije mamy??
Asante dear nitafanya hivo nione!! Shukrani sana!!Mahitaji
🍃Bamia kumi (10)
🍃Mafuta ya maji (African Black castor oil au coconut oil au olive oil)
🍃Juice ya Tangawizi
🍃Asali
Jinsi ya kuandaa
🌿Osha bamia zako vizuri kuondoa uchafu wote
🌿unaweza kukata kata kuwa vipande vidogo vidogo au ukamenya tu (kuexpose undani wake)
🌿Weka kwenye sufuria yako safi
🌿Ongeza maji kiasi (kikombe kimoja au viwili vinatosha) na ufunike
🌿Chemsha kwa dakika 10 hadi 15 mpaka ile gelly au ute wa bamia uwe umetoka wa kutosha
🌿Epua na uache ipoe kwa dakika kadhaa
🌿Baada ya hapo chuja kuondoa vipeke na upate gelly tuu
Kama unatengeneza steaming
🌿chukua ute ulioupata gawanya mara mbili
🌿Nusu ya kwanza changanya na tangawizi na asali na mafuta yoyote ya kimiminika (hasa Castor oil)
🌿Baada ya kuosha nywele kwa shampoo (hakikisha nywele zako ni safi) paka mchanganyiko kwenye nywele zote
🌿Vaa shower cap au steamer na ukae kwa dakika 30+
🌿Osha kwa maji mengi
🌿Chukua ule mchanganyiko uliobaki changanya na mafuta kijiko kimoja hapa utakua umepata (Leave in Conditioner)
🌿Nywele zako zikiwa mbichi na safi pakaa vizuri kuanzia kwenye ngozi hadi kwenye ncha.
🌿Chambua vizuri nywele zako kidodgo kidogo kuhakikisha imeingia vizuri kwenywe nywele zote.
🌿Unaweza kusuka mabutu (bantu knots) au twists za njia mbili au tatu au nywele za mistari kawaida nywele lazima ziwe na unyevu kabisa.
🌿Ukiona zinakauka unanyunyiza maji tena.
🌿Ukimaliza acha zikauke vizuri utaendelea kupaka mafuta yako kama kawaida ili kuzifanya zing’ae.
🌿Ukifumua unapata mawimbi mazuri unaweza kubana utakavyo nywele zako.
Ushaweka picha ??Sawa for you itabidi niwe fastly...🥱😄😄😄
Yeah nzuri sana .Asante dear nitafanya hivo nione!! Shukrani sana!!
Aweke amerogwa?? Ukimuomba picha tu huyooo anapotea!!Ushaweka picha ??
Nitafanya hivo mamy!Yeah nzuri sana .
Poor Brain do the needful pleaseAweke amerogwa?? Ukimuomba picha tu huyooo anapotea!!
Hakuna cha mguu atubless selfii ya kueleweka banaaa😄!! Wapi ziro brainn nasubiria blessings zako miee Poor BrainPoor Brain do the needful please
tukuone hata kwa kiatu .
weuweeeh 😍😍Hakuna cha mguu atubless selfii ya kueleweka banaaa😄!! Wapi ziro brainn nasubiria blessings zako miee Poor Brain
Katuacha kwenye mataa!! Muite akuje mwambie tunasubiri blessingsweuweeeh 😍😍
tunaisubiri kwa hamu picha yake .
Namuita Mara ya piliKatuacha kwenye mataa!! Muite akuje mwambie tunasubiri blessings
Akiweka nistue!!
Kwa sisi nywele kavu ni nzuri hii??Mahitaji
🍃Bamia kumi (10)
🍃Mafuta ya maji (African Black castor oil au coconut oil au olive oil)
🍃Juice ya Tangawizi
🍃Asali
Jinsi ya kuandaa
🌿Osha bamia zako vizuri kuondoa uchafu wote
🌿unaweza kukata kata kuwa vipande vidogo vidogo au ukamenya tu (kuexpose undani wake)
🌿Weka kwenye sufuria yako safi
🌿Ongeza maji kiasi (kikombe kimoja au viwili vinatosha) na ufunike
🌿Chemsha kwa dakika 10 hadi 15 mpaka ile gelly au ute wa bamia uwe umetoka wa kutosha
🌿Epua na uache ipoe kwa dakika kadhaa
🌿Baada ya hapo chuja kuondoa vipeke na upate gelly tuu
Kama unatengeneza steaming
🌿chukua ute ulioupata gawanya mara mbili
🌿Nusu ya kwanza changanya na tangawizi na asali na mafuta yoyote ya kimiminika (hasa Castor oil)
🌿Baada ya kuosha nywele kwa shampoo (hakikisha nywele zako ni safi) paka mchanganyiko kwenye nywele zote
🌿Vaa shower cap au steamer na ukae kwa dakika 30+
🌿Osha kwa maji mengi
🌿Chukua ule mchanganyiko uliobaki changanya na mafuta kijiko kimoja hapa utakua umepata (Leave in Conditioner)
🌿Nywele zako zikiwa mbichi na safi pakaa vizuri kuanzia kwenye ngozi hadi kwenye ncha.
🌿Chambua vizuri nywele zako kidodgo kidogo kuhakikisha imeingia vizuri kwenywe nywele zote.
🌿Unaweza kusuka mabutu (bantu knots) au twists za njia mbili au tatu au nywele za mistari kawaida nywele lazima ziwe na unyevu kabisa.
🌿Ukiona zinakauka unanyunyiza maji tena.
🌿Ukimaliza acha zikauke vizuri utaendelea kupaka mafuta yako kama kawaida ili kuzifanya zing’ae.
🌿Ukifumua unapata mawimbi mazuri unaweza kubana utakavyo nywele zako.
Okay dearAkiweka nistue!!