Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,200
😂😂😂
😂😂😂
Madam Antonnia tafadhali naomba mawazo yako hapa🤣🤣🤣Jamni mwenzenu nimenenepa ankowenu aliniacha Kwa masimango hata sijamaliza eda😂😂😂View attachment 2422981 nimetoka shavu hivi nyie 😂😂😂
Carrasco putin nimekumiss aunt
Antonnia
Saint Anne
Kama lote nikilipost wataliiba😂😂😂Umenougaaaa!! Shavu dodooo!! Ukiempata mshikilie vizuriiii😍😍😍😍! Hapo na wowooo limeongezeka balaaa👌👌👌👌!!
Hongera sana
Poa sana, sijui pande hizoNipo hapa mzima auntyangu?
Watu weuweeeeehhh!!! Anko anafauduuuuuu🤸🤸🤸💃💃!! Hongera sana!!! Vipi bado unakula maembe????😁😁Kama lote nikilipost wataliiba😂😂😂
Mama wa mbwinu😂😂😂Kipajii hikooo 💃💃!! Tumia mbunu zenyuuu vizuri mkuu tena amesema wazee mnajua kulea na kinounaaaa!!
😂😂Sana tu sema hamnakitu mnifundishe mikao hiyo kungwi nami Nile na malimao😂😂😂🤦🤦Watu weuweeeeehhh!!! Anko anafauduuuuuu🤸🤸🤸💃💃!! Hongera sana!!! Vipi bado unakula maembe????😁😁
Post tu mama, tuone neema za mnyaaz!![emoji1787]Kama lote nikilipost wataliiba[emoji23][emoji23][emoji23]
Shikilia hapohapo Usiachieee👌👌👌👌👌! Umenougaaaa Umependeza umewakaaa hatareeee😍😍😍😘Mama wa mbwinu😂😂😂
Selfikaaaaa.....Post tu mama, tuone neema za mnyaaz!![emoji1787]
Weeeeeeee nyie wa pwani ni nyakanga OG fanyeni kutupa somo dadazenu tusiachike kizembe!! 😁😁😁!!😂😂Sana tu sema hamnakitu mnifundishe mikao hiyo kungwi nami Nile na malimao😂😂😂🤦🤦
Mm natka nzuri nianze kula malimao au hamtaki wapwa zenu,,Huyo ndo fundi Sasa kanipita Hadi aunt yake 😂😂😂Weeeeeeee nyie wa pwani ni nyakanga OG fanyeni kutupa somo dadazenu tusiachike kizembe!! 😁😁😁!!
ngoja kungwi coca akujee akupe mikaoo😁😁!!!
Zipo tatu nyingie usiku saa 4 USA vs WalesLeo zipo mbili eti
Umejaaa hadi utamuuuu😍😍😍😍!! Walai umejua kunogaaa mamaa!!Naona na mambo siyo mabaya mnitafutie kitait kizuri au kimini View attachment 2422987 siunajua mwez wa marejesho huu nikaombee ela nitaombaje na baibui😂😂😂
Asante madamShikilia hapohapo Usiachieee👌👌👌👌👌! Umenougaaaa Umependeza umewakaaa hatareeee😍😍😍😘
Hapo dude limefichwa kwenye nguo kubwa, ukiweka kimini sisi tutakuwa tumekaa pembeni tukifanya tathmini asee!Naona na mambo siyo mabaya mnitafutie kitait kizuri au kimini View attachment 2422987 siunajua mwez wa marejesho huu nikaombee ela nitaombaje na baibui[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema emoji kubwa sana punguza utublesi tenaaaaa uwiiiii😍😍😍😍😍😍😘!!Asante madam
Usiseme Kwa nguvu ndo linaanza anza 😂😂lisije likaghair nikabaki na tungumi kma zamaniUmejaaa hadi utamuuuu😍😍😍😍!! Walai umejua kunogaaa mamaa!!
Shepuu shepuuuu 👌👌👌👌😘
Tunawatakaaaa waje watuchotee maji mgao nahuu uzeee balaa tupu!!! Umenougaaaa SanaMm natka nzuri nianze kula malimao au hamtaki wapwa zenu,,Huyo ndo fundi Sasa kanipita Hadi aunt yake 😂😂😂