Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mchana mwema
IMG_20221121_145639_426.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio jambazi 🤣 ila kuna wambea kama nyie, unampa mtu apige cm maybe, akimaliza anafanya na vingine…

Nilimpaga mtu cm aongee
Kamqliza kaingia chrome kacheck jf natumia jina gani 🤣
Dah
Nikaona ooh
Yaan naimani atakuwa ashanisahau
Watu wa hivyo wanaboa sana, umbea uko damuni.
 
Back
Top Bottom