Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
kusimama Mia sita🤣🤣🤣🤣 Kukaa buku kusimama sh ngapi?
Nakaa hapo hadi wa kugombania waishe , kwani namuwahi nani 😂😂
kusimama Mia sita🤣🤣🤣🤣 Kukaa buku kusimama sh ngapi?
Tumezipokea🙏🙏Salam kwenu wote
Kweli kabisa wee kaa tuu... Kusema wewe hufatili WC je..? Au hunaga mzuka kabisakusimama Mia sita
Nakaa hapo hadi wa kugombania waishe , kwani namuwahi nani 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣 Na kesi ka hzo ujawahi kutwa nazo wewe,,,Sijui hata walikuwa wanaandikia Nini😂
Ila mara nyingi yalikuwa yanaandikwa matusi kutukana walimu
nafuatilia asiee nipo hapa naona ndo wanaanza hapa.Kweli kabisa wee kaa tuu... Kusema wewe hufatili WC je..? Au hunaga mzuka kabisa
Kweli kabisa wee kaa tuu... Kusema wewe hufatili WC je..? Au hunaga mzuka kabisa
Husna wa 50cent 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tueleze husna kakupa nn ukaenda kuandika kwenye ukuta wa kanisa![]()
Zamani ndo nilikuwa mshamba natoa hizo buku .siku hizi nipo radhi nikae hadi saa tatu nikisubiriKweli kabisa wee kaa tuu... Kusema wewe hufatili WC je..? Au hunaga mzuka kabisa
Hapo vizuri sana.. usije jisahau ukachelewa kurudi... Na ulivyo muoga wewe🤣🤣🤣🤣nafuatilia asiee nipo hapa naona ndo wanaanza hapa.
Hivi jana nilisema leo nipo Team gani vileee 🤔🤔🤔??? Tukio la kuotea ndio tukio gani wee Ziro brain??? Poor Brain??Goal la naona Ecuador wamepiga
Nishafika nyumbani tayariHapo vizuri sana.. usije jisahau ukachelewa kurudi... Na ulivyo muoga wewe🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Daah ila wewe hapana kwa kweli 🙌🙌🙌Zamani ndo nilikuwa mshamba natoa hizo buku .siku hizi nipo radhi nikae hadi saa tatu nikisubiri
Wamecheki Var basi wamelikataaHivi jana nilisema leo nipo Team gani vileee 🤔🤔🤔??? Tukio la kuotea ndio tukio gani Ziro brain??? Poor Brain??
Umepitia wapi weyeeee... Pass like a shadow 😋😋😋Nishafika nyumbani tayari
nipo hapa.
Hahhaa ukiwahi ukifika buguruni mnakaa saa nzima . bado na foleni ya kijinga Kule kwetu .🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Daah ila wewe hapana kwa kweli 🙌🙌🙌