Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,196
Italy eti haipooo!!Wamecheki Var basi wamelikataa
Jana ulisema Italy Leo umesema Brazil .
Italy eti haipooo!!Wamecheki Var basi wamelikataa
Jana ulisema Italy Leo umesema Brazil .
Hawajafuzu kumbe .Italy eti haipooo!!
Agentina / italy nakumbuka hvo...Hivi jana nilisema leo nipo Team gani vileee 🤔🤔🤔??? Tukio la kuotea ndio tukio gani wee Ziro brain??? Poor Brain??
Lol umenikumbusha Literature Olevo!Umepitia wapi weyeeee... Pass like a shadow 😋😋😋
nipo kwa washikaji .. nimekuja kucheki mechi 😂😂Umepitia wapi weyeeee... Pass like a shadow 😋😋😋
Ndo alichokifanya mwenzko kapita ka kivuli hapa..🤣🤣🤣 ..OlabisiLol umenikumbusha Literature Olevo!
Passed like a shadow by Bernard Mapalala!!
Kitabu kizuriLol umenikumbusha Literature Olevo!
Passed like a shadow by Bernard Mapalala!!
Mii huko sipo kwa kweli 🤣🤣🙌🙌🙌🙌Kitabu kizuri
nilikuwa nawaonea huruma Wakina Atwoki as if ni kweli 😂😂
Nimesikia hapaa kwa TV wanasema Italia haipo kombe la Dunia 2022..Kwani Italia si ndio Italy mkuu Unajua venye nipogo kilaza eehhh🤔🤔😉???😁Agentina / italy nakumbuka hvo...
Washkaji tena.... Mpo wengiiii!!!?🥲🥲nipo kwa washikaji .. nimekuja kucheki mechi 😂😂
Hahahaha uko wapi tukufateMii huko sipo kwa kweli 🤣🤣🙌🙌🙌🙌
tupo wengi eehhWashkaji tena.... Mpo wengiiii!!!?🥲🥲
Ndio zamani ikiitwa italia sa hivi ni italy... 🤣🤣🤣 Wewe unataka watu wakuvamie sahivi 🤣🤣🤣🤣🤣Nimesikia hapaa kwa TV wanasema Italia haipo kombe la Dunia 2022..Kwani Italia si ndio Italy mkuu Unajua venye nipogo kilaza eehhh🤔🤔😉???😁
Mii nipo na hawa na mabala... Au olabisi🤣🤣🥺Hahahaha uko wapi tukufate
Watoto wa mama ntilie ndo kabisa machozi yalinitoka 😂😂😂
Hmna makelele hapo.. maaana dahtupo wengi eehh
naona wanapiga penalty hapa
goal 🥳🥳🥳🥳
Njoo huku kwenye vyenyeweMii nipo na hawa na mabala... Au olabisi🤣🤣🥺
Nyimbo huwa unamaliza add mwisho wewe🤣🤣🤣🤣🤣
tunashangalia sie kimya kimya .Hmna makelele hapo.. maaana dah